Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Naombeni ushuri wa haraka je kuna madhara yoyote ya kiuchumi ambayo naweza kuyapata kwa kununua line za mitandao ya pesa kama tigo pesa na airtel money kunua mkononi kwa mtu je matatizo gani ambayo naweza kuyapata au hakuna tatizo hii kitu maana taadhari kabla ya hatari.

naombeni na ushauri je hii biashara ya tigo pesa faida yake inakuaje na je hasara inakujae kwenye biashara nahitaji kujua maana sina experience bila kusahau hizi mashine za paypoint za kuuzia umeme je faida yake inakuaje ni kulingana na mtaji au nini kinaendelea hapa naitaji kujuzwa maana kuliza si ujinga

Asanteni
 
View 65 Reply 0 Wana Jf Cjui Ndo Hawajui Au Ku 7bu Nyingne Ok Wait Wanakuja Wanaojua
 
Tigo pesa kuwa mwangalifu tu line za mkononi nyingine kamishen haziji zinaishia kwa wakala Mkuu so kuwa mwangalifu
Faida yake inatokana na jinsi unavyozungusha pesa yani kuwekea watu na kutolea watu, inahitaji mzunguko mkubwa wa pesa ili ikulipe vizuri same to others.
Mpesa wako poa Sana kamishen straight to you.
Likewise airtel.
Hiyo mashine sinauzoefu nayo.
 
Nakushauri ununue yako kabisa toka kwa wakala mkuu, vinginevyo huyo mtu uwe unamfahamu na unamwamini vizuri tafadhali, mie nilishalizwa kwa style hiyo.
 
Eti ukinunua laini kwa wakala mkuu, kila ukifanya miamala kuna commission anaipata yeye? tofauti na ukinunua laini direct tigo office au voda office
 
Husika na somo tajwa!

Nahitaji kufaham utaratibu wa kupata line za mpesa, tigo pesa, Airtel money na kwa Wale wanaotoa zakwao utaratibu ukoje?

Ushauri tafadhali
 
Habari wana jamvi naitadi msaada ni vp naweza kupata token za usajili wa laini za voda airtel holotel na tigo
 
Taem leader (TM).naombeni mnisaidie jinsi gani naweZa kupata token tofauti na kufika ofisin .inaitaji kua wakala wa kusajili lain
 
ni biashara nzuri.mimi ninafanya mwaka wa tatu sasa.uwe sehemu yenyewateja wengi na uwe na mtaji wa kutosha na iwe ni biashara iliyo ndani ya duka la vitu vinngine.inachangamsha sana biashara ya bidhaa zingine.hasa vitu vya rejareja.
 
Back
Top Bottom