MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Hahaha mkuuu unataka uje uwekeze kesho nn.. Uzalendo ni kupeana deal naona hii Deal itakua yangu.... Naomba nijue calculation mkuu
Sawa mkuu maana nahisi ndoto za kuajiriwa hazipo tena.. Vile vile nataka nifuge na kuku mkuuHahaaah mkuu....commission inaongezeka jinsi ambavyo miamala inaongezeka...kama ni sehemu iliyochangamka usijiulize mara mbili fanya hiyo biashara...kama utapata chumba kikubwa unaweza ongeza na biashara nyingine yoyote....kwa nje weka friji kubwa uwe unauza vinywaji kama eneo limechangamka sana pembeni unatengeneza kieneo kidogo unaweka gesi uwe unauza...utapiga hela sana
Kama unamtaji bora tu ujiajiri...kuajiriwa ni utumwa...ukiajiriwa utakuja kukumbuka maneno yangu miezi mitatu nishatoka kwenye huo utumwa wa kutumikishwa na sitarajii kurudi...ila kama huna mtaji hapo kweli inatakiwa uajiriwe kama sehemu ya kutafutia mtajiSawa mkuu maana nahisi ndoto za kuajiriwa hazipo tena.. Vile vile nataka nifuge na kuku mkuu
Hakika mkuu macho ya rohoni hayanioneshi fursa ya kuajiriwa zaidi ya kuwatumikia waoKama unamtaji bora tu ujiajiri...kuajiriwa ni utumwa...ukiajiriwa utakuja kukumbuka maneno yangu miezi mitatu nishatoka kwenye huo utumwa wa kutumikishwa na sitarajii kurudi...ila kama huna mtaji hapo kweli inatakiwa uajiriwe kama sehemu ya kutafutia mtaji
Sawa mkuu but nataka kujua calculation za commissionMkuu tafuta sehemu wameandika Super Agent au wakala mkuu wa Mpesa au tigopesa then watakupa maelekezo jinsi ya kupata hill line za Tigopesa
Mteja akitoa Tsh 30,000 faida yako Tsh 320 zitajumlishwa utapa mwanzoni mwa mweziSawa mkuu but nataka kujua calculation za commission
Je akiweka mkuuu inakuaje?Mteja akitoa Tsh 30,000 faida yako Tsh 320 zitajumlishwa utapa mwanzoni mwa mwezi
Sikumbuki vizuri ila kuweka faida ni ndogo kuliko kutoaJe akiweka mkuuu inakuaje?
Sawa mkuu... Vp kuhusu kuuza rukuSikumbuki vizuri ila kuweka faida ni ndogo kuliko kutoa
Sio rahisi ki hi vyo
nami pia nataka kujiajiri, ila ishu ya kufanya ndio naumiza kichwa, mtaji upoKama unamtaji bora tu ujiajiri...kuajiriwa ni utumwa...ukiajiriwa utakuja kukumbuka maneno yangu miezi mitatu nishatoka kwenye huo utumwa wa kutumikishwa na sitarajii kurudi...ila kama huna mtaji hapo kweli inatakiwa uajiriwe kama sehemu ya kutafutia mtaji
si kweli, mteja akitoa pesa hyo commission ni zaidi ya 500Mteja akitoa Tsh 30,000 faida yako Tsh 320 zitajumlishwa utapa mwanzoni mwa mwezi
luku bado ni 3% atumie selcomLuku Mara ya mwisho nafanya hizo mambo kuuza faida ilikuwa 3% ya kiasi ulichouza. Lakini sasa nasikia wamepunguza hizo % za faida
MTU akitoa ile tozo ya kutolea hugawanywa ifuatavyo: TRA 18%, Kampuni 10% Super Agent 10% na wakala (wewe) 80%.si kweli, mteja akitoa pesa hyo commission ni zaidi ya 500