Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Kama kipato chako ni cha kawaida unaweza kuanza na mtaji Wa mil 1:5
Wateja wanao toa pesa na wanao weka pesa wote wanafaida kwako.. .japo wanao toa ndio wenye faida kubwa kidogo.... Tafuta eneo lililo changamka ili pesa yako iwe inazunguka...

Malipo yote hufanywa mwisho Wa mwezi( camishen)...
 
Ahsante Kwa mchango wako... Bado sijajua kwenye selcom
 
biashara kichaa hyo, ukiingianhumo utapambana na haya!
1. Wizi
2. Chuma ukele
3. Utapeli
4. Vijicommision
 
Asante mkuuu
 
Nami nina hamu ya kupata maarifa ya biashara hii.
 
Mtaji wa milioni moja na nusu nikiwekeza kwenye hii biashara na ikiwa sehemu yenye mzunguko mzuri ntaweza kupata faida?

Wale wazoefu wanisaidie!
 
Mkuu mm niliwahi fanya hio kazi ila niliajiriwa nilifanyia pale mabibo hostel nilikua napata camision mpk laki6 kwa vodacom,laki5 kwa Tigo ,airtel money ilikua chini sana...
fikiria kwa hio ni kwa mwezi mmoja tu.
kwasiku nafanya miamala hata mia na ushee ya mtandao mmoja hio...
customer care nzuri..
inalipa ,ila kama hakuna mzunguko mzuri utalia na utaifunga
 
Sawa sawa, kwa mtaji huo wa 1.5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…