Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Mkuu mm niliwahi fanya hio kazi ila niliajiriwa nilifanyia pale mabibo hostel nilikua napata camision mpk laki6 kwa vodacom,laki5 kwa Tigo ,airtel money ilikua chini sana...
fikiria kwa hio ni kwa mwezi mmoja tu.
kwasiku nafanya miamala hata mia na ushee ya mtandao mmoja hio...
customer care nzuri..
inalipa ,ila kama hakuna mzunguko mzuri utalia na utaifunga
Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.

TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini

Karibuni
 
Suala sio Mtajiii mzee suala ni miamalaa unayofanya ndo inakupaa Faidaa...!! Sasa wew hata ukiwa na mtaji wa mil 100 unafanya miamala 10 kwa siku mwingne ana Mil 1 anafanya miamala 100 kwa siku lazima atakuzidii tuu!!
 
ivi hiz naweza kuhamishia dar kama inawezekana nitazinunua
 
Mkuu Kajole changamoto ni zipi mpaka ukaamua kuuza?
Hakuna changamoto pia sio kwamba nafunga business, ni kwamba nlinunua till kwa mtu ndio nafanyia kazi hizi nazouza nilipeleka maombi kwa makampuni husika toka tarehe 7/1/2018 ndo nmepewa leo. Naziuza ni mpya kabisa
 
Mtaji wa milioni moja na nusu nikiwekeza kwenye hii biashara na ikiwa sehemu yenye mzunguko mzuri ntaweza kupata faida?

Wale wazoefu wanisaidie!
Nadhani Vi rendra amekupa mwongozo...kikubwa customer care nzuri na uaminifu pia kwa ushirikiana na wenzako wanaofanya biashara hiyo yaani ikitokea huna hela na mteja anataka kutoa unafanya namna apate fedha kwa kuchukua kwa jirani ili kujenga jina na kumfanya asikukimbie mteja maana wateja wa haya mambo wengi hupenda kuhudumiwa sehemu moja
 
Suala sio Mtajiii mzee suala ni miamalaa unayofanya ndo inakupaa Faidaa...!! Sasa wew hata ukiwa na mtaji wa mil 100 unafanya miamala 10 kwa siku mwingne ana Mil 1 anafanya miamala 100 kwa siku lazima atakuzidii tuu!!
Mkuu utafanyaje muamala wa 2milions wakat una mtaji wa 500,000?. Si utamwambia mteja sina cash au sina float ili aende kwa mwingine?. Kuwa reality mtaji una umuhim sana ili ufanye miamala mingi otherwise utasubir wa 50,000 au 20,000 akija wa million huwez muhudumia
 
Sawa sawa, kwa mtaji huo wa 1.5?
Mtaji kwakweli mm kwangu ilikua mil 1 kila line kasoro airtel laki3
kwahiyo laki5 naweka kwenye simu laki5 cash
ina maana ilikua mtaji mil2.5
hapo line zishanunuliwa

ila mkuu mm binafsi niliikuta biashara imeshafika huko.. kwahiyo kama hio mil1.5 ni mtaji tu inatosha sana tu. utapanda kidogo kidogo
 
Na Mm natak kufanya hii business Ila uhakika wa wateja KWA siku sidhani hata kumi inaweza kufika KWA location niliopo, je Itakuwa na Tija KWA miamala michache hyvo,, ushauri please wazoefu.
 
Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.

TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini

Karibuni
mkuu tusimvunje moyo.. mm naamini mtaji haukuzidi mil2.5
kinachomata ni mzunguko wa pesa na wateja tu...
kwasiku wakitoa ef10 watu 50 na wakaweka watu50 pesa itazunguka kwa urefu mkubwa na mtaji utakua kawaida tu...

ilimradi usiwe chini ya laki5 huo mtaji...
Kwakuanzia ni sawa na akiwa na customer care safi kadada karembo kuvuta wateja ,sio mwizi ah mwezi ujao mbona inaongezeka
 
Mkuu utafanyaje muamala wa 2milions wakat una mtaji wa 500,000?. Si utamwambia mteja sina cash au sina float ili aende kwa mwingine?. Kuwa reality mtaji una umuhim sana ili ufanye miamala mingi otherwise utasubir wa 50,000 au 20,000 akija wa million huwez muhudumia
Halafu mkuu miamala mikubwa inamaliza float tu haina faida kabisa
 
Na Mm natak kufanya hii business Ila uhakika wa wateja KWA siku sidhani hata kumi inaweza kufika KWA location niliopo, je Itakuwa na Tija KWA miamala michache hyvo,, ushauri please wazoefu.
Miamala 10 michache mzee,tafuta location nyingine yenye msongamano wa watu umuweke mtoto mzuri Vi rendra hapo
 
Halafu mkuu miamala mikubwa inamaliza float tu haina faida kabisa
Sitaki kumvunja moyo pia sitaki kumpa matumaini yasiyokuwepo!. Mtaji 500,000/= hawez pata faida ya laki 6 kwa mwezi.
Nina miaka 4 sasa nafanya hii kaz yaan toka kipindi hicho hii business inaanza.
Faida atapata na hiyo itamsaidia kukuza mtaji lkn si laki 6 aiseee.
Pia float inaisha mapema kama unavyosema kwakuwa umeweka kidogo lkn vipi uwe na float ya 2M na cash 1M unakuwa huru kila mteja akija toa au weka hakuna kuuliza unatoa au unaweza shling ngapi?

Ukweli ni kwamba hiyo inatosha kabisa kuanzia lkn commission atarajie 150,000 ikizid 180,000 kwa mtaji huo.
 
Mkuu usilazimishe kila mtu awe na cash na float za one mil>
Tatizo umekatia tamaa business, ndio maana unauza line
pia tatizo lingine unaamini ulikoweka biashara palikua na mzunguko wa wateja..

kinqchomata kwenye tigopesa ni mzunguko wa hela full stop. Laki5 float 3 cash inatosha kwa kuanzia.

Wakati mtu anatoa laki1 mwingine anaweka laki1 miamala mi2 na pesa iko pale pale.
Kamisheni zinahesabu miamala mi2 sio mtaji wa mil5 mkuu
Tigopesa ni kuweka na kutoa ,haiwezekani kutwa nzima uwe unaweka tuuuuu au wanatoa tuuu...

mm nampa moyo sana tu anaweza ,aweke malengo na nguvu zote kwenye biashara mm hata nikiwa na laki5 tu naanza , mkaa bure ni tofauti na mtembea bure
 
Mbona umepanic!.kwahiyo umetoka kwenye mtaji wa laki 5 umehamia laki 8 saizi.
Sijakata tamaa na hapa nipo kwenye biashara hiyo muda huu naziuza ni mpya niliomba mwezi wa kwanza ndo nmepewa leo yaan zipo mpya hata kwenye simu hazijawekwa. Na atakaenunua ndo atazitoa kweny vibati vyake na kuanza kuzitumia hivyo elewa sijafunga business natumia nlizonunua kwa watu kabla sijapata zangu.

Mtaji wa 500,000 hauwez mpa faida ya laki 6 kwa mwezi hata afanyaje
 
Back
Top Bottom