Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.Mkuu mm niliwahi fanya hio kazi ila niliajiriwa nilifanyia pale mabibo hostel nilikua napata camision mpk laki6 kwa vodacom,laki5 kwa Tigo ,airtel money ilikua chini sana...
fikiria kwa hio ni kwa mwezi mmoja tu.
kwasiku nafanya miamala hata mia na ushee ya mtandao mmoja hio...
customer care nzuri..
inalipa ,ila kama hakuna mzunguko mzuri utalia na utaifunga
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.
TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini
Karibuni