Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Mkuu nilijifunza hapo sitaki ujinga kabisa sijawahi pata loss hata ya 100 tangu hapo yani mtu mzima tu alinifanyia uhuni dah
Mkuu tapeli wana njia nyingi sana na kila siku wanabadilisha njia

Hapa ni kufanya kazi kwa kufuata uataraibu unao jiwekea ofisini kwako na utaratibu wa mtandao husika
 
Jamani


TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini

Karibuni
 
Vipi kuhusu shoti?
Nasikia ina shoti balaa hii
 
Kwa kuwa umezungumza kwa kauli ya mkuru nimekuelewa ni kweli pia hatukuelewana maana mie sikumaanisha anapata laki 5 wa mwezi bali ilikuwa kumtia moyo kama ana nia ya dhati aanze kwa mtaji huo alionao polepole huku anapiga hesabu ya kutafuta ela kutoka other sources aongezee...
 
Pamoja sana mkuu!. Tupo kusaidiana ili tuboresha maisha kwa ku-share experience.
 
Sasa hyo miamala midogo dogo ndiyo yenye pesa,sio kama hiyo ya 1m haina faida kivile.
 
Sasa hyo miamala midogo dogo ndiyo yenye pesa,sio kama hiyo ya 1m haina faida kivile.
Mkuu sio kweli. Miamala mikubwa na commission ni kubwa hivyo hivyo. Kuna chat ya malipo imewekwa hapa inaonyesha hili
 
Mimi nilikuwa na 1m kwa tigo pesa mzunguko ulikuwa mkubwa nikawa napata hadi lakini 5 kwa mwezi
 
Mkuu nipo Dar naitaka ya mpesa na Tigo pesa... ww upo wapi? Tuwasiliane 0784 686575
 
vipi kuhusu kuibiwa na mfanyakazi kama huna mda wa ukaa mwenyewe akiwa na float ya tsh mil 3 si anaweza kutoroka nayo, namdibiti vip?
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu...kwenye comment ya kwanza umesema upo mbioni kufunga biashara...huku unasema una wish kufungua ofc nyingine...unamdanganya nani mkuu na ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…