Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Nijibu wewe sasa kama unajua..ili ikamilike inahitaji nini??ni procedures gani inafuata??...mi sizijui mkuu...nipe elimu hiyo we mjuaji
 
Nijibu wewe sasa kama unajua..ili ikamilike inahitaji nini??ni procedures gani inafuata??...mi sizijui mkuu...nipe elimu hiyo we mjuaji
Unapotaka kujifunza kitu usiwe mbishi, wala usitumie mabavu kutaka kukijua. Mimi siyo mjuaji, kuomba nikupe elimu maana yake mimi ni mwalimu, unastahili kunipa hiyo heshima. Sasa kwa kuwa umekuja kishari, ngoja nikurudishe kishari nikuache na ujinga wako.
 
Mkuu bado unazo zote?
 
Nashukuru Mungu sikiwahigi kupata hasara boss wangu aliniwekaga kitimoto kunielekeza..
 
Boss hii changamoto ya MTU anatoa hela yuko mbali then anawapigia voda kurudisha hela tunakabiliana nao vipi?
Hakikisha anakuonyesha msg kwenye simu yake inayoonyesha kuwa ametuma hela kwako ili uthibitishe kuwa msg uliyopokea wewe ina jina sawa na iliyopo kwake.
NB: hapa anaweza kutumiwa hiyo msg na huyo mtu aliyeko mbali baada ya kutuma pesa. So hakikisha msg anayokuonyesha imetumwa na mpesa/tigopesa etc. na sio kutoka namba ya mtu. (i.e forwarded msg)
 
mkuu naomba uniuzie mm ukitaka kuuza
 
very sorry. Nina leseni na vitambulisho nimeenda vodashop wanandai 20000 eti ya muhuri wanipe uwakala wa mpesa ni halali hii???
 
Na uhakika nisemacho mkuu NPO kwenye hii industry MWAKA wa 5 huu....ambatanisha vitu hvyo hapo juu then peleka Kati ya sehem nlizoorodhesha hapo juu ukiambiwa gharama yoyote ntafute mkuu
Msaada menu ya M-PESA kwa wakala wa M-PESA
 
Kama unavyo vielelezo vyote venye kujitosheleza kwa nini usipate line ndani ya wiki moja. Nyie ndio mnaowachelewesha watu kupata maendeleo kwa kutengeneza mazingira ya rushwa. Sasa nikuulize wewe line yako uliipata bure ndani ya miaka mingapi?
Msaada menu ya wakala wa M-PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…