MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Nijibu wewe sasa kama unajua..ili ikamilike inahitaji nini??ni procedures gani inafuata??...mi sizijui mkuu...nipe elimu hiyo we mjuajiUlianza na maandazi, ukaja na vitumbua, sasa hivi umekuja na chapati. Naona hivyo ndio vitu unavyovimudu bwana misosi, natamani niendelee kukupa elimu ila uelewa wako ni mdogo. Ili till ikamilike inahitaji nini? Maana unapiga mayowe tu wakati huelewi kitu.