Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Nani kwa kuambia? Hizi huduma hazina muda mrefu sana asikudanganye mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm pia nina ka-20m nahitaji sana kuijua hii biashara kwa undani...na napenda niifanyie kariakoo.
 
Fungua bar tu tafuta eneo zuri weka pesa Kila Leo walev wanaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe jamaa..au unataka umuuzie line?
 
Inategemea na eneo unapoishi, kuna maeneo watumiaji wengi ni M pesa, kwingine TIGO au Airtel money...kama ndio unaanza basi ungeanza na ule mtandao wenye watumiaji wengi na kadri siku zinavyoenda unaongeza mtaji na laini.
 
Acha uongo wewe jamaa..au unataka umuuzie line?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Mkuu umenifurahisha sana nia yangu ingekuwa kuuza line au Till ningemwambia aje inbox kwa ufupi Mtui umenikosea lakini ndio sehem ya mjadala sitategemea positivity from ev'rybody but wanaofanya hii biashara kiundan wananielewa kuliko outsiders. Some people know nothing about this biz and they pretend to be aware of it.
 
Nani kwa kuambia? Hizi huduma hazina muda mrefu sana asikudanganye mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Murusi sitaki ubishi kama ule wa Messi na CR7 au siasa za akina fulani na fulan lete hoja za msingi refering to WB and IMF projections in 50 years to come halafu utaelewa kuwa hukuwa na knowledge kichwan kuhusu hii kitu kabla hujanijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…