Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Kwa maelezeo ninayoendelea kusoma nadhani itakua wakisema "flot" ndio hicho kianzio unachowekewa na mtandao husika japo sina uhakika
Kwahiyo mfano hiyo laki tano kwa upande wa M-pesa unapoenda vodashop ukiwa na viambatanisho vyote ( TIN ,leseni) unawapa kisha wanakuwekea kama floti then unafanyiwa mchakato wa kupata laini. Baada ya kupata laini hiyo hela unaikuta kwenye hiyo laini au ndo unaanza upya na mtaji wako sasa?
 
Hatua ya kwanza n hvyo viambatansho line ya uwakal n bure
#Ukishapata line inakuwa na namba za wakal ambazo ndo utakuwa unszitumia kurka hela ,unaenda kwa wakala mkuu(super agent) skuiz bnk almost karbia zote n wakal mkuu
#float n ile hela iliyopo kwenye namb yako ya uwakal

#cash n ile hela ulionayo mkonon

#mteja akitoa unampa cash float inaongezeka

#mteja akieka kweny cmu yake float inapungua cash inaongezeka
 
Hapana hiyo unaenda nayo baada ya line yako kukamilika siku utakayoenda kuchukua unaenda na hiyo hela wanakuwekea kwenye till yako.
 
tin na lesei navipata vipi kwa vigezo gani na wapi
 
1.Tin unaenda tra kusem biashara unayotak kufanya wanakupa makadilio ya kod ,
unalpa kwa awamu nne ukianza kulpa tu

2.unapewa kitu kinaitwa tax clearance

3.unaenda nacho kama n jiji au halmshaur upande wa ma officer biashara wanakup lesen
4.unaenda n copy ya tin na lesen kam n vodashop,tigoshop,halopesa etc
 
Hapana hiyo unaenda nayo baada ya line yako kukamilika siku utakayoenda kuchukua unaenda na hiyo hela wanakuwekea kwenye till yako.
Shukrani mkuu hapa sasa umenifungua akili, mfano Mpesa lain tayar na sijafikisha laki 5 let say nna laki 3. Sipew lain mpaka nikamilishe vigezo.?
 
You are right

Kuna kaka angu, alikuwa na duka la jumla lkn ASAIVI kaacha ni wakala mkubwa sana usipime

Mtaji wake ASAIVI ni mwaka wa pili tuh ila unarange 20 million

I believe, kutokana na umakini alionao, miaka miwili Tena mbele, atafikisha hadi 100 million

Inalipa sana, MUHIMU UMAKINI KUKABILIANA NA WAJANJA WA MJINI
LA SIVYO, UTAMPA MTU CASH KUMB HAJATOA PESA ILA KAKUTUMIA TEXT YA KITAMBO AMBAYO ALIKUJA KUITOA KWAKO ILA HAKUIFUTA, BADALA YAKE KAIFANYIA EDITING, WEWE KWA HARAKA ZAKO UKAMPA PESA BILA KUTAZAMA TAREHE WA SALIO LA JUMLA, (Tena watu kama Hawa wanakuja kama saba kwa pamoja, japo huwezi jua kama ni ndugu, ila mmoja ndo anakuja na dili la kukupiga na Hao wengine wanafanya kitu correct bila wasi,) ukifanikiwa kweny umakini huo utatoboa

Baadhi wanajifanya wametoa elfu hamsini kumbe katoa 5000.00 wewe ukinichanganya na haraka zako kutokana na wateja umeliwa

Nikutakie kazi njema mtoa post, JAPO KUPATA HIZO LAINI HASWA VODA KWA SASA NDO SHIDA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi fikiria aina hii ya wizi
 
Shukrani mkuu hapa sasa umenifungua akili, mfano Mpesa lain tayar na sijafikisha laki 5 let say nna laki 3. Sipew lain mpaka nikamilishe vigezo.?
Unapewa mkuu labda tu anayekupa hiyoo till awe na roho mbaya.
 
1.Tin unaenda tra kusem biashara unayotak kufanya wanakupa makadilio ya kod ,
unalpa kwa awamu nne ukianza kulpa tu

2.unapewa kitu kinaitwa tax clearance

3.unaenda nacho kama n jiji au halmshaur upande wa ma officer biashara wanakup lesen
4.unaenda n copy ya tin na lesen kam n vodashop,tigoshop,halopesa etc
Kwani huwezi kupata line bila kupita TRA mbona raia kibao Wana mpesa bila tin?
 
Wakuu nauza friji aina ya Aborder ni jipya tu, maisha yamebana nichek wasap 0742537423
IMG_20210318_230654_9.jpg
 
Katika replies zote hakuna aliyeweza msaidia alichouliza ilihali kuna watu wamesema wanaifanya hii biashara, mmoja2 kasema wanalipa kwa kamisheni mwisho wa mwezi, najua hajaelewa kamisheni inakuwaje, mfano labda ukifanya miamala kiasi flani, tegemea kupata kamisheni ya sh kadhaa kwa mwezi

Niulize chkulia mfano umefanya miamala ya ya200k kwa mwezi, watakulipa sh ngapi kwa mwezi?? (Wengi tunajifunza, na kujifunza kwetu hakuzibi riziki ya wew uliyeko kwenye system!

Nawasilisha

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom