Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Jamani naombeni ushauri wenu kuhusu mpesa na tigopesa Kwa mtaji wa million moja, vipi unalipa ama ntapoteza? Plz nahitaji ushauri nipo serious
 
Kama kichwa cha habar kilivyo jieleza naitaji kufungua m-pesa Ila sijajua faida yake ni IPI,na mtaji wake ni sh ngapi.yan kikibwa zaid naitaji kujua jinsi biashara ya m-pesa inavyokuaa,msaada please
 
Milion moj inatosha sn kw mpesa Au eatel Money But inategemea na idadi ya wateja ukipata sehem nzur unawez ukapata faida kwa asilimia Mia moja
 
Wadau naomba ushauri,
Poleni na shughuli na naomba ushauri wa namna ya biashara ya mpesa tigo pesa na airtel money... Selcom zinavofanya kazi na kianzio shilling ngapi?
Nakushukuru sana Kwa kunipa ushauri wako na maarifa.
Naomba kuwasilisha..
 
Back
Top Bottom