Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Kwa wakala mkuu hakuna masharti yoyote zaidi ya
Tin number
Lesen ya biashara
Kopi ya kitambulisho
Passport size 2
Na mtaji wako bas.....

N.B LINE ZA UWAKALA NI BURE NA HAZIUZWI POPOTE PALE[emoji41]
MAZINGATIO: LINE ZA UWAKALA SIYO BURE, CHA BURE MJINI NI SALAMU TU! KAMA HUAMINI NENDA NA KOPI YA KITAMBULISHO N.K, N.K HALAFU UONE KAMA JASHO HALIKUTOKI YAANI LAZIMA UTOE CHOCHOTE KITU NDIO SABABU WATU WANAFANYA MAAMUZI YA KUNUNUA KWA WATU.
 
Na uhakika nisemacho mkuu NPO kwenye hii industry MWAKA wa 5 huu....ambatanisha vitu hvyo hapo juu then peleka Kati ya sehem nlizoorodhesha hapo juu ukiambiwa gharama yoyote ntafute mkuu
 
Mkuu, hivyo viambatanisho ndivyo tunavyoambiwa kila siku kuwa ukiwanavyo utafanikiwa kupata huduma bila usumbufu, lakini mimi pia nina uhakika na nikisemacho, nimefanya mwenyewe siyo kwa kuhadithiwa nimeona kwa macho yangu mawili namna gani jamaa walivyo wababaishaji. Anyways nataka niwekeze power kwenye hii biashara, kuhusu hili nitajaribu text time nisipofanikiwa nitakufuta uweke mambo sawa!
 
Na uhakika nisemacho mkuu NPO kwenye hii industry MWAKA wa 5 huu....ambatanisha vitu hvyo hapo juu then peleka Kati ya sehem nlizoorodhesha hapo juu ukiambiwa gharama yoyote ntafute mkuu
sasa wewe unafikiri leseni na tin atavipata bure,?
 
MAZINGATIO: LINE ZA UWAKALA SIYO BURE, CHA BURE MJINI NI SALAMU TU! KAMA HUAMINI NENDA NA KOPI YA KITAMBULISHO N.K, N.K HALAFU UONE KAMA JASHO HALIKUTOKI YAANI LAZIMA UTOE CHOCHOTE KITU NDIO SABABU WATU WANAFANYA MAAMUZI YA KUNUNUA KWA WATU.
Acha upotoshaji kijana...mi niliipata bure..tatizo mtu unataka upate line ndani ya week moja...hapo lazima pesa jkutoke
 
Kama unavyo vielelezo vyote venye kujitosheleza kwa nini usipate line ndani ya wiki moja. Nyie ndio mnaowachelewesha watu kupata maendeleo kwa kutengeneza mazingira ya rushwa. Sasa nikuulize wewe line yako uliipata bure ndani ya miaka mingapi?
 
Lain zote za miamala ni bure,muhimu uwe na lesen na tin number na uwe na subira maana itakuchukua wiki moja au mbili,na wanakuzungusha ili uwape cchte wakupush kdgo ila hakuna malipo yyte.. By da way tigo kwa sass hawatoi lain mpk mwezi wa saba..na msisahau wenye kutoa hizi lain sio tigo kama tigo ila nikampun ambayo ipo ubia na tigo. Mic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliomba laini ya mpesa December 2016 nikapigiwa simu may 2017 nilifatilia miezi 3 nikakata tamaa
Tigo walinipa kwa miezi 2
Airtel mwezi mmoja na wiki 2 usumbufu ni mkubwa sana
 
Ahsante mkuu kwa kuliona hilo, usumbufu ni mkubwa tena pengine huo ulioupata wewe ni mdogo na yote hii wanafanya ili kutengeneza mazingira ya rushwa. Kuna vilaza hawaelewi kuwa hatukatai kwamba hizi line hazilipiwi ila zinausumbufu sana na ndicho watu tuchokikataa.
 
Kama unavyo vielelezo vyote venye kujitosheleza kwa nini usipate line ndani ya wiki moja. Nyie ndio mnaowachelewesha watu kupata maendeleo kwa kutengeneza mazingira ya rushwa. Sasa nikuulize wewe line yako uliipata bure ndani ya miaka mingapi?
Miezi minne...but bure kabisa...cku nyingine uwe na kauli za kistarabu kijana
 
As-salamu alaykum...kauli zangu zimefanya nini? Wewe kijana mwenzangu kama huna hoja ni busara ukiwa mpole tu. Ikiwa unavyo vielelezo vyote vya muhimu kuna sababu gani iliwafanya wakupe line mwezi wa nne? Hiyo miezi mitatu ya nyuma walikuwa wanachunguza nini? Au wewe wakati unapewa hiyo line, walikwambia sababu ya kukuchelewesha? Hatukatai hizo line zinatolewa bure, lakini usumbufu ni mkubwa na mazingira ya kutumika kwa rushwa ili upate line ni makubwa mno. Sasa ukishatoa chochote kwa kukimbia usumbufu hiyo line itakuwa ya bure? Kuna faida gani kusubiri line ndani ya miezi 4; while ukinunua kwa mtu aliyemuaminifu kwa muda mfupi unaanza kuitumia kwa kufanya biashara... Eti?
 
Utaratibu wa kusubiri upo kila sehemu...ndo mana hata leo ukitaka passport hata kama unavielelezo vyote hupewi leoleo...ukitaka driving licence hupewi leoleo hata kama una vielelezo vyote...vipi hao wote wanataka rushwa????...kwa mitandao ya simu iko hivi ukifuatilia hizo till kwa mfano mkoa flani huwa wanazikusanya then wanatuma makao makuu and makao makuu huwa wakipokea wanazishughulikia then wanazituma zote kwa wakati mmoja...huwa hawatumi mojamoja...so kuhusu mchakato kuchukua muda hizo ni taratibu zao na haipaswi kuwaharakisha coz yale ni mambo ya hela yanahitaji taratibu maalumu wakilipua watu wakaibiwa lawama zote ni kwao
 
Mifano yako siyo hai na mingine kama huo wa driving licence hauna ukweli wowote. Kwanza huwezi kulinganisha thamani ya upatikanaji wa passport na hizo till.
 
Umeamua tu kuwa mbishi...kwanini hata ukiwa na vielelezo vyote leo leo unaenda tra hupewi driving licence leo leo....kwanini ukiwa na vielelezo vyote hupewi passport cku hiyohiyo....jibu ni kuwa kila mamlaka husika inaweka taratibu wanazoona wao zinafaa kutoa huduma fulani...na mitandao ya cm wameweka utaratibu fulani kutoa hizo huduma zao...kama umeamua kuwa mbishi we kuwa mbishi tu...kwa taarifa yako tu movement zote za hizi pesa zipo under monitoring ya t.r.a na b.o.t...so we usidhani zile till kuna mtu anazo ghetoni kwake kazifungia na huwa anazitengeneza kama maandazi so akiamua anazigawa tu kama njugu...ni process ndefu tena sio ya institution moja ndo mana inachukua muda
 
Maelezo mengi ila sijaona jipya hapo. Natamani nijenge hoja ila najua hutaweza kuijibu, ngoja nikuache tufunge mjadala.
 
Sema umekosa hoja...utakuwa ulidhani till zinatengezwa kama vitumbua...ni long procedures
Nikijenga hoja hutaweza kuijibu, utanisumbua tu mwisho wote tuonekane wendawazimu while mimi nina akili zangu timamu ndio maana nimeamua tufunge mjadala. Nimeshangaa sana unatolea mfano wa upatikanaji wa passport unauweka sawia na hizo till, nikajua kabisa hapa nafanya mjadala na mtu wa aina gani.
 
Ok na mimi nikajua nabishana na mtu mwenye uelewa anajua procedures mpaka till ikamilike kumbe nabishana na mtu ambaye kutokana na uwezo wake wa kufikiri anadhani till zinatengenezwa kama chapati...kweli tuishie tu hapa
 
Ulianza na maandazi, ukaja na vitumbua, sasa hivi umekuja na chapati. Naona hivyo ndio vitu unavyovimudu bwana misosi, natamani niendelee kukupa elimu ila uelewa wako ni mdogo. Ili till ikamilike inahitaji nini? Maana unapiga mayowe tu wakati huelewi kitu.
 
Back
Top Bottom