Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Naombeni msaada, kujua proces zima ya kupata laini ya Tigo pesa na Mpesa na gharama yake au mtaji wa kuanzia kwa kila laini
 
Wew nunua lain
Ukitaka ufate utaratbu utakesha

Ukishapata hzo utafuta zako mdogo mdogo
 
Mchakato je wakuzipata inakuaje ?
Inategemea unataka toka kwa mtu au ofisini kwao,kama kwa mtu ukiitaji ata Leo unapata ,ofisi itakuchukua muda kupata,pia wanaitaji uende na copy ya leseni ya biashara ,tin,na kitambulisho
 
Tafuta TIN, leseni ya biashara toa kitambulisho peleka voda, tigo shop na airtek acha hizo documents baada ya miezi miwili nenda kachukue line zako
Sikushauri kununua kwa mtu kuna watu wanatamaa sana anakuuzia halafu anaripoti imeibwa kisha ana renew asume uliweka 2mil halafu akaiblock ni bonge la kilio hapo
 
duu hatarii
 
Kwahiyo akuna malipo yeyote ?
 
Hakuna ila ukienda kuchukua line unaenda na laki 5 wanakuwekea kwenye simu(float) unaondoka nayo.
 
Back
Top Bottom