Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kwahiyo menu ni moja kwa wakala wa M-PESA na Wateja wa kawaida ambao ßi mawakala wa mpesa*150*00#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo menu ni moja kwa wakala wa M-PESA na Wateja wa kawaida ambao ßi mawakala wa mpesa*150*00#
Mchakato je wakuzipata inakuaje ?Gharama zake ni kuanzia laki mbili
Fika tigoshop au vodashop watakupatia utaratib. Taratibu zinafanana na laini za kawaida ila utofauti unakuja utahitaji barua za wadhaminiMchakato je wakuzipata inakuaje ?
Inategemea unataka toka kwa mtu au ofisini kwao,kama kwa mtu ukiitaji ata Leo unapata ,ofisi itakuchukua muda kupata,pia wanaitaji uende na copy ya leseni ya biashara ,tin,na kitambulishoMchakato je wakuzipata inakuaje ?

Unajua kuna ndugu yangu alinunua ya mtu then ikaibiwa mchakato wa kurenew umekuwa mgumu tatizo jina la mtu mwingine then huyo mtu hayupoWew nunua lain
Ukitaka ufate utaratbu utakesha
Ukishapata hzo utafuta zako mdogo mdogo
Nunua kwa mawakala wakuu ni uhakika zaidiUnajua kuna ndugu yangu alinunua ya mtu then ikaibiwa mchakato wa kurenew umekuwa mgumu tatizo jina la mtu mwingine then huyo mtu hayupo
Nataka ofisini kwaoInategemea unataka toka kwa mtu au ofisini kwao,kama kwa mtu ukiitaji ata Leo unapata ,ofisi itakuchukua muda kupata,pia wanaitaji uende na copy ya leseni ya biashara ,tin,na kitambulisho
Ok poa asanteNunua kwa mawakala wakuu ni uhakika zaidi
nakushuri ununue kwanza laini, ukisema usubiri za jina lako zitakugharimu muda sanaOk poa asante
inabidi ununue kwa unaemjuaUnajua kuna ndugu yangu alinunua ya mtu then ikaibiwa mchakato wa kurenew umekuwa mgumu tatizo jina la mtu mwingine then huyo mtu hayupo
Ata mawakala wakuu sio wa kuamini kivile,haswa voda,anakuuzia laini vizuri baada ya mwenzi unashangaa imeblockia kauzia mwingine tena,sio wote lakiniNunua kwa mawakala wakuu ni uhakika zaidi
duu hatariiTafuta TIN, leseni ya biashara toa kitambulisho peleka voda, tigo shop na airtek acha hizo documents baada ya miezi miwili nenda kachukue line zako
Sikushauri kununua kwa mtu kuna watu wanatamaa sana anakuuzia halafu anaripoti imeibwa kisha ana renew asume uliweka 2mil halafu akaiblock ni bonge la kilio hapo
Kwahiyo akuna malipo yeyote ?Tafuta TIN, leseni ya biashara toa kitambulisho peleka voda, tigo shop na airtek acha hizo documents baada ya miezi miwili nenda kachukue line zako
Sikushauri kununua kwa mtu kuna watu wanatamaa sana anakuuzia halafu anaripoti imeibwa kisha ana renew asume uliweka 2mil halafu akaiblock ni bonge la kilio hapo
Ok poaHakuna ila ukienda kuchukua line unaenda na laki 5 wanakuwekea kwenye simu(float) unaondoka nayo.