mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa.
ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA.
-------------------------------------------------------
Naamini sote tunataka kufahamu vizuri kuhusu tofauti kijiogorafia kati ya Marekani kaskazini,Marekani kusini,USA na jimbo la Alaska.
MAREKANI KASKAZINI:
Marekani kaskazini ni moja wapo ya mabara saba duniani.Ni bara ambalo lina nchi takriban 23.
Imepakana na bahari la Aktiki upande wa kaskazini,Atlantiki upande wa mashariki, Pasifiki upande wa magharibi na bara la Marekani kusini upande wa Kusini mashariki.
Baadhi ya nchi katika bara hilo ni Kanada,USA, Mexico na nyingine nyingi katika eneo la Marekani ya kati na Karibea.
MAREKANI KUSINI:
Amerika kusini au Marekani kusini lipo eneo ambalo linapakana na bahari la Karibean upande wa Kasakzini magharibi na Atlantiki upande wa Kaskazini mashariki.
Ni bara ambalo lina nchi 12 tu, nchi hizo ni pamoja na Brazil,Argentina,Peru na nyingine nyingi.
USA (UNITED STATES OF AMERICA):
Hii ni nchi iliyopo eneo la Marekani Kaskazini.Ni nchi yenye majimbo makubwa 50 na wilaya maalum ya kiutawala(federal) ya Washington DC,ambayo pia ndo jiji kuu la nchi hiyo.
USA ndo nchi yenye usawishi mkubwa kuliko zote duniani,wamiliki wa sarafu maarufu ya DOLLA($).
Huu hapa chini ni orodha ya majimbo yote 50 nchini Marekani,na miji yao:
1. Alabama - Montgomery
2. Alaska - Juneau
3. Arizona - Phoenix
4. Arkansas - Little Rock
5. California - Sacramento
6. Colorado - Denver
7. Connecticut - Hartford
8. Delaware - Dover
9. Florida - Tallahassee
10. Georgia - Atlanta
11. Hawaii - Honolulu
12. Idaho - Boise
13. Illinois - Springfield
14. Indiana - Indianapolis
15. Iowa - Des Moines
16. Kansas - Topeka
17. Kentucky - Frankfort
18. Louisiana - Baton Rouge
19. Maine - Augusta
20. Maryland - Annapolis
21. Massachusetts - Boston
22. Michigan - Lansing
23. Minnesota - Saint Paul
24. Mississippi - Jackson
25. Missouri - Jefferson City
26. Montana - Helena
27. Nebraska - Lincoln
28. Nevada - Carson City
29. New Hampshire - Concord
30. New Jersey - Trenton
31. New Mexico - Santa Fe
32. New York - Albany
33. North Carolina - Raleigh
34. North Dakota - Bismarck
35. Ohio - Columbus
36. Oklahoma - Oklahoma City
37. Oregon - Salem
38. Pennsylvania - Harrisburg
39. Rhode Island - Providence
40. South Carolina - Columbia
41. South Dakota - Pierre
42. Tennessee - Nashville
43. Texas - Austin
44. Utah - Salt Lake City
45. Vermont - Montpelier
46. Virginia - Richmond
47. Washington - Olympia
48. West Virginia - Charleston
49. Wisconsin - Madison
50. Wyoming - Cheyenne
JIMBO LA ALASKA:
Alaska ni jimbo lililopo katika eneo la mbali ya Kaskazini magharibi mwa Marekani Kasakazini.Pia jimbo hili limetengwa kutoka eneo la USA na nchi ya Kanada.Yaani kufika eneo la jimbo hilo,lazima upitie nchi ya Kanada.Ni jimbo kubwa zaidi ya majimbo yote nchini Marekani,lakini ni jimbo lenye watu wachache sana.
Naamini tumejifunza kitu🙏🏿🙏🏿