Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

New coupe, no roof, playa what's my name?
Now Brooklyn, Queens, Manhattan, Staten
Uptown, what now?! Let's make it happen! New York mazafantaz!!

If you can make it here, you can make it anywhere
We still here!! And we buildin four more new towers!!!

Yeah, I'm out that Brooklyn, now I'm down in Tribeca
Right next to De Niro, but I'll be hood forever
I'm the new Sinatra, and since I made it here
I can make it anywhere, yeah, they love me everywhere
I used to cop in Harlem, hola, my Dominicanos (Dímelo)
Right there up on Broadway, brought me back to that McDonald's
Took it to my stash spot, 560 State Street
Catch me in the kitchen, like a Simmons whippin' pastry
Cruisin' down 8th Street, off-white Lexus
Drivin' so slow, but BK is from Texas
Me? I'm out that Bed-Stuy, home of that boy Biggie
Now I live on Billboard and I brought my boys with me
Say "What up?" to Ty Ty, still sippin' Mai Tais
Sittin' courtside, Knicks and Nets give me high fives
Nigga, I be spiked out (Come on), I could trip a referee (Come on)
Tell by my attitude (Come on) that I'm most definitely from
from
 
New York!!!!!!
 
Alaska ilinunuliwa toka urusi baada ya urusi kua na hali mbaya kiuchumi
Ilikuwa ni wakati wa vita, Urusi ilihofia UK anaenda kuiteka Alaska na kuiunganisha na Canada, akaamua bora ajiwahi na kumuuzia US ili angalau aambulie hela akafanyie mambo mengine kuliko apokonywe bure tu.
 
Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa.

ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA.
-------------------------------------------------------
Naamini sote tunataka kufahamu vizuri kuhusu tofauti kijiogorafia kati ya Marekani kaskazini,Marekani kusini,USA na jimbo la Alaska.

MAREKANI KASKAZINI:
Marekani kaskazini ni moja wapo ya mabara saba duniani.Ni bara ambalo lina nchi takriban 23.

Imepakana na bahari la Aktiki upande wa kaskazini,Atlantiki upande wa mashariki, Pasifiki upande wa magharibi na bara la Marekani kusini upande wa Kusini mashariki.

Baadhi ya nchi katika bara hilo ni Kanada,USA, Mexico na nyingine nyingi katika eneo la Marekani ya kati na Karibea.

MAREKANI KUSINI:
Amerika kusini au Marekani kusini lipo eneo ambalo linapakana na bahari la Karibean upande wa Kasakzini magharibi na Atlantiki upande wa Kaskazini mashariki.
Ni bara ambalo lina nchi 12 tu, nchi hizo ni pamoja na Brazil,Argentina,Peru na nyingine nyingi.

USA (UNITED STATES OF AMERICA):
Hii ni nchi iliyopo eneo la Marekani Kaskazini.Ni nchi yenye majimbo makubwa 50 na wilaya maalum ya kiutawala(federal) ya Washington DC,ambayo pia ndo jiji kuu la nchi hiyo.

USA ndo nchi yenye usawishi mkubwa kuliko zote duniani,wamiliki wa sarafu maarufu ya DOLLA($).

Huu hapa chini ni orodha ya majimbo yote 50 nchini Marekani,na miji yao:

1. Alabama - Montgomery
2. Alaska - Juneau
3. Arizona - Phoenix
4. Arkansas - Little Rock
5. California - Sacramento
6. Colorado - Denver
7. Connecticut - Hartford
8. Delaware - Dover
9. Florida - Tallahassee
10. Georgia - Atlanta
11. Hawaii - Honolulu
12. Idaho - Boise
13. Illinois - Springfield
14. Indiana - Indianapolis
15. Iowa - Des Moines
16. Kansas - Topeka
17. Kentucky - Frankfort
18. Louisiana - Baton Rouge
19. Maine - Augusta
20. Maryland - Annapolis
21. Massachusetts - Boston
22. Michigan - Lansing
23. Minnesota - Saint Paul
24. Mississippi - Jackson
25. Missouri - Jefferson City
26. Montana - Helena
27. Nebraska - Lincoln
28. Nevada - Carson City
29. New Hampshire - Concord
30. New Jersey - Trenton
31. New Mexico - Santa Fe
32. New York - Albany
33. North Carolina - Raleigh
34. North Dakota - Bismarck
35. Ohio - Columbus
36. Oklahoma - Oklahoma City
37. Oregon - Salem
38. Pennsylvania - Harrisburg
39. Rhode Island - Providence
40. South Carolina - Columbia
41. South Dakota - Pierre
42. Tennessee - Nashville
43. Texas - Austin
44. Utah - Salt Lake City
45. Vermont - Montpelier
46. Virginia - Richmond
47. Washington - Olympia
48. West Virginia - Charleston
49. Wisconsin - Madison
50. Wyoming - Cheyenne

JIMBO LA ALASKA:
Alaska ni jimbo lililopo katika eneo la mbali ya Kaskazini magharibi mwa Marekani Kasakazini.Pia jimbo hili limetengwa kutoka eneo la USA na nchi ya Kanada.Yaani kufika eneo la jimbo hilo,lazima upitie nchi ya Kanada.Ni jimbo kubwa zaidi ya majimbo yote nchini Marekani,lakini ni jimbo lenye watu wachache sana.

Naamini tumejifunza kitu🙏🏿🙏🏿
Miaka ya nyuma Alaska ilikuwa Urusi,miaka ya nyuma Marekani ililinunua jimbo hilo kutoka Urusi na hata waziri wa fedha wa marekani wa miaka hiyo alilaumiwa sana kwa uamuzi wa kutoa pesa kununua jimbo hilo na wananchi wa Marekani, lakini baadae uamuzi huo umeinufaisha Marekani kwani Alaska ina utajiri mkubwa wa mafuta na gesi, hata wenyeji wa Alaska wanatofauti sana na wale wa Marekani ambao ni wahindi wekundu, wa Alaska wana sura tofauti,sura zao ni kama za waeskimo
 
Katika Majimbo hayo yote 50 Carlifonia ndo baba lao.
Hi Carlifonia Ina uchumi mkubwa Sana na ipo siku itakuja kujitenga na U.S.A na kujitegemea Kama nchi.Ni suala la Muda tu.
Mkuu acha porojo New York ndio jimbo lenye uchumi mkubwa zaidi Marekani na tukisema Marekani basi ni duniani
 
New coupe, no roof, playa what's my name?
Now Brooklyn, Queens, Manhattan, Staten
Uptown, what now?! Let's make it happen! New York mazafantaz!!

If you can make it here, you can make it anywhere
We still here!! And we buildin four more new towers!!!
Kwenda Staten ni ferry boat ya bure, zina rangi ya njano,ukiwa Brooklyn bridge na Statue Of Liberty unaziona zileee, Queens ndio nyumbani asilia ya mwamba Trump
 
Hii elimu nimeipenda, ningependa kujua kuhusu Urusi , kwann Urusi ni nchi kubwa Sana? Sasa hiv ndo ilikatwakatwa 1990 soviet ilivovunjika ndo tukatapata sijui Moldova, croatio,serbia n.k mpk nahic mruss akishindwa vita na Ukraine basi wataikata tena kupunguza ukubwa wake na nguvu yake , elezea kidogo
 
Back
Top Bottom