Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

O/D, hii ni function inayokupa uchaguzi. Au gari iwe nyepesi na kwenda haraka ama iende kawaida. Unapoendesha gari na kuhisi imekuwa nyepesi basi angalia kwenye dash-board ili ujue je, gari iko kwenye O/D au la. Utajuaje?

Fanya mazoezi ukiwa ktk mahegesho swicht on kisha bonyeza button ya O/D (itabonyea ndani) na angalia dashi bodi inaonyesha nini. Utakachokiona ndicho kitakachokuambia gari iko kwenye O/D.

Ikiwa imebonyea. kisha ibonyeze tena ile button (itachomoza nje), angalia dashi bodi inaonyesha nini. Hii itaonyesha gari haiko kwenye O/D. Matumizi ya O/D. ni kuifanya gari iwe nyepesi na kwenda haraka.

Ideal kama unasafari za high way na siyo misongamano kama ya Dar. Kwa hiyo ukigundua kuwa uko kwenye O/D sehemu kama Traffic jam za Dar unashauriwa kuiondoa O/D. Kuhusu wese: O/D inakula wese dogo mno kuliko hata la AC.
 
Pia O/D inatunza injini, ila kwenye speed ndogo kama watu wa dar kwenye foleni O/D siyo nzuri, maana speed has to be 70 +, na mimi nina ushahidi wa kutumia O/D kwa zaidi ya km 200, na bila O/D same km, na fuel consumption ni tofauti sana. So O/D is best to be on when 70+
 
Wakuu ahsanteni kwa haya maelezo, yamenisaidia sana kujua jinsi ya kutumia OD.
 
Mkuu na wewe unaendesha auto? kwani wewe ni mlemavu? Gari manual bana.....
Mkuu upo dunia gani wewe yaani bado una mawazo ya 109 toshatoka huko zamani siku hizi kitu auto kaka dunia imeshakuacha mkono baba rudisha namba hio.

nashukuru kwa wachangiaji maana mie sijawahi kuitumia OD ila kuanzia kesho naanza nikitoka mbagala tu naiweka
 
leo kwakweli nimefurahi sana kukuta topic kama hii, maana jamvi hili limetawaliwa na habari nyingi za siasa tu!!. Jamani kwa wote wenye ujuzi zaidi endeleni kuelimisha. Special thanks kwenu.
 
wakuu

ni nini hasa matumizi ya Over Drive kwenye gari yenye automatic gear (transmition), je hutumika wakati gani haswa yaani ni wakati gani na speed gani inatakiwa iwe on au off... what are the pros and cons?

Ahsanteni
 
Kama umewahi endesha gari ambayo ni manual na unajua how to range the gears in accordance to the speed thn od haitakusumbua,firstly inatumika kufanya delayal ya gear shift from 1 to 4 that gari iaccelerate na kuchanganya fasta,na ukiwa on overdrive gear no 5 haiwez ingia na transmission za gear zitaishia nne mpaka uizime ndi 5 itaingia.

kama gari yako ni six or 8 cylinder waweza iacha to the maximum speed of 120km/hr thn ukaizima kama u want to speed up more maana ukiiacha then ukaspeed up more for a long tym waweza ua engine,4 4 clndrs u can make t up 2 100-110km/hr,pia inatumika kufanya gari iwe nzito if u want to decelerate suddenly when u r in a high speed as inashift gear from 5 to 4 then ndo unashika break kama umeendesha manual then u wil b in a good position to get wat I mean,that's ol I can contribte
 
Kimbunga

thanks ....hivyo basi OD inafaa zaidi kwenye long distance drive? na je ina effect yeyote kwenye fuel consumption?
 
Kimbunga

thanks ....hivyo basi OD inafaa zaidi kwenye long distance drive? na je ina effect yeyote kwenye fuel consumption?
inapokuwa ON(taa haiwaki ktk dashboard)hutumia mafuta kidogo .na unapoiweka OFF(taa ktk dashboard huwaka) hapo hutumia mafuta mengi kwani engine huongeza nguvu na rpm na spidi
 
Asante sana kwa mwanzisha thread hii, imekuwa ya manufaa sana kwangu kwani swala la OD katika gari ya automatic lilikuwa linanisumbua sana. Sikujua kuwa nikiliweka kwa great thinkers litapata ufumbuzi. Thank you so much.
 
mkuu

always JF give the way forward
 
Hapa nimeelewa sana, Lakini kama maelezo yamekaa kinyume nyume. That is Overdrive ni wakati taa inawaka kwenye dash board (maandisho 0D off) au ni wakati hakuna indikation yoyote. maelezo yako mazuri lakini yanatakiwa yazingatie hili pia
 
Reactions: LAT

you are right ... there is a confusion somewhere on when should overdrive supposed to be

ukiangalia gear lever ... button ya overdrive ikiwa chini basi OD ipo on na button ikiwa juu basi OD is off na dashboard itawaka taa ya "overdrive off"

hivyo basi kutokana na maelezo ya wadau nina assume kwamba normal use ya gari ni wakati OD ipo on .... yaani wakati taa ya overdrive haiwaki
 
thank you sana wakuu leo nimeendelea kuprove maisha bila jf kuna asilimia 5 unakuwa unapoteza..
 
Hapa nimeelewa sana, Lakini kama maelezo yamekaa kinyume nyume. That is Overdrive ni wakati taa inawaka kwenye dash board (maandisho 0D off) au ni wakati hakuna indikation yoyote. maelezo yako mazuri lakini yanatakiwa yazingatie hili pia
Zingatia taa...ikiwaka it means inakuonya kuwa ipo OFF..yaani unacruise kwa nguvu kubwa mwisho gear nne na mafuta unameza.. isipowaka ndio position ya kawaida ya kuendeshea yaani ipo ON uankula mafuta kikawaida na gear shift inafika mpaka namba 5
 
great .... sasa basi ni wakati gani hasa inapaswa kuweka overdrive off .... pia inafaida gani kuweka OD OFF?
 
ikiwa inaonesha kwenye db means off gea zinaishia 4 ikiwa haionekani on mkoba huo tembea unavyoweza usisahau kufunga mkanda na avoid D3
 
great .... sasa basi ni wakati gani hasa inapaswa kuweka overdrive off .... pia inafaida gani kuweka OD OFF?

Inapendekezwa kama upo mjini iwe off kwa sababu huwezi kupita 80kph, na kwenye miteremko mikali kama sekenke,wami na kitonga ni vyema ukashuka na od ikiwa off. Vile vile kwenye sehemu korofi ie tope na mchanga. Faida inakuja kama uko kwenye safari ndefu maana utaipata gia ya tano na fuel consumption itapungua gari inakuwa nyepesi.
 
Nina Escudo yani nikiweka OD inakuwa nzito na inakimbia na kuchanganya haraka huwa mpaka naogopa, nashindwa kuelewa mnaposema ukifika ukitaka kukimbia zaidi inabidi uitoe ukifikia speed fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…