Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mimi,
Ukiwa unaendesha Less than 80km/per hour let the over drive be off- Taa inawaka kwenye dashboard( OD OFF)
Over 80km/hr let the over drive be on. Wakati huo Taa yenye maandishi (OD OFF) kwenye dashboard huwa haiwaki
Kuhusu kula mafuta ni hivi.
RPM ikiwa above 2.5 gari inakula mafuta. Kama unaendesha gari iki OD OFF na uko speed above 80km/hr rpm lazima iende zaidi ya 2.5. hivyo kuashiria kula mafuta.
Ukitaka kujaribu weka OD OFF then icrease your speed to 100km/hr the look at the rpm. wakati ikiwa kwenye mwendo huo press button ya OD the look at the rpm. utaona itashuka ghafla na gari inaongeza speed. (NOT APPLICABLE FO DAR RESIDENTS).
Mlachake ndivyo nilivyofundishwa sasa inaonekana kuwa kinyume chake hebu nisaidieni hilo
Ni kweli... ukiweka gari inakuwa nzito na inavuta sanaNina Escudo yani nikiweka OD inakuwa nzito na inakimbia na kuchanganya haraka huwa mpaka naogopa, nashindwa kuelewa mnaposema ukifika ukitaka kukimbia zaidi inabidi uitoe ukifikia speed fulani.
huo ndo ukweli Blaki.
you are right ... there is a confusion somewhere on when should overdrive supposed to be
ukiangalia gear lever ... button ya overdrive ikiwa chini basi OD ipo on na button ikiwa juu basi OD is off na dashboard itawaka taa ya "overdrive off"
hivyo basi kutokana na maelezo ya wadau nina assume kwamba normal use ya gari ni wakati OD ipo on .... yaani wakati taa ya overdrive haiwaki
BINGO......!!!:censored:Nijuavyo mimi,
Ukiwa unaendesha Less than 80km/per hour let the over drive be off- Taa inawaka kwenye dashboard( OD OFF)
Over 80km/hr let the over drive be on. Wakati huo Taa yenye maandishi (OD OFF) kwenye dashboard huwa haiwaki
Kuhusu kula mafuta ni hivi.
RPM ikiwa above 2.5 gari inakula mafuta. Kama unaendesha gari iki OD OFF na uko speed above 80km/hr rpm lazima iende zaidi ya 2.5. hivyo kuashiria kula mafuta.
Ukitaka kujaribu weka OD OFF then icrease your speed to 100km/hr the look at the rpm. wakati ikiwa kwenye mwendo huo press button ya OD the look at the rpm. utaona itashuka ghafla na gari inaongeza speed. (NOT APPLICABLE FO DAR RESIDENTS).
So Do I!! Ngoja tuwasubirie kina Michael Schumecher wengine labda sisi ndo hamnazo kwenye haya makitu.:high5:Mlachake ndivyo nilivyofundishwa sasa inaonekana kuwa kinyume chake hebu nisaidieni hilo
BINGO......!!!:censored:
So Do I!! Ngoja tuwasubirie kina Michael Schumecher wengine labda sisi ndo hamnazo kwenye haya makitu.:high5:
Hii tulishaidiscuss zamani sana!!
Hebu fuatilieni hii link hapa chini, msipende tu kuanzisha thread kwa kila jamabo!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...i-ya-over-drive-od-kwenye-gari-automatic.html
Gari inaweza kwenda 140km/ph ikawa na gear 1-4 lakini speed ikawa imeisha hivyo ukipress button ya OD inaongeza kasi zaidi!Na gari yenye 5speed ikwa kwenye speed ya 160km/ph unaweza kuweka ODwakuu
ni nini hasa matumizi ya Over Drive kwenye gari yenye automatic gear (transmition), je hutumika wakati gani haswa yaani ni wakati gani na speed gani inatakiwa iwe on au off ..... what are the pros and cons