Hii tulishaidiscuss zamani sana!!
Hebu fuatilieni hii link hapa chini, msipende tu kuanzisha thread kwa kila jamabo!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...i-ya-over-drive-od-kwenye-gari-automatic.html
Hii tulishaidiscuss zamani sana!!
Hebu fuatilieni hii link hapa chini, msipende tu kuanzisha thread kwa kila jamabo!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...i-ya-over-drive-od-kwenye-gari-automatic.html
Kwa ninavyofahamu mimi, overdrive ni kama walivyoeleza waliotangulia ila, kama iko off maana yake unaifanya gari iweze isiweze kwenda mpaka gear ya mwisho. Kama ina 7 speed itaishia 6. Kama ni 4 speed itaishia 3. Ukiangalia kweye gear lever yako kutegemea na gari lako utagundua yafuatayo. P R D 4 3 2 L AU 1. Mengine P R D 2 L AU
1. Ukiweka kwenye L means gari itakuwa kwenye gear ya 1 na haitaruka hapo. Hapo ni kama unavuta gari au unashuka mteremko mkali sana ili kupata engine braking au kupanda mlima mkali sana au kutoka kwenye matope kama umezama. Ukiweka 2 inakuwja inaishia hapo kwenye gear ya pili na haiendi zaidi.
Hapo ni kama upo kwenye barabara mbaya sana na unajua huhitaji gear zaidi ya hiyo. Hapa unaipunguzia kazi gear box yako na hata kuiongezea maisha. Ukiweka 3 the same inaishia hapo. Wameweka hivi makusudi kwa kuwa ikiwa D itakuwa inajaribu kufanya kazi sana ya kutafuta gear kutokana na motion ya gari.
Hapa sasa kuna makundi mawili. Hilo la P R D 2 L ndiyo common hapa na ndiyo zenye kidude cha kubonyeza. Kikiwa OFF taa itakuwa inawaka kwenye dash na kikiwa ON Haitowaka. Kama iko OFF maana yake gari haitokuwa inapata support ya engine kwenye kusimama kama vile kupangua kwa wale wenye manual transmission.
Ni brake tu itatumika. Advantage ya kutumia overdrive ni kwamba gari inatumia mafuta kidogo kwa kuwa ukiachia mafuta gari litakuwa neutral. Kama lingekuwa kwenye OD OFF litakuwa kwenye gear likijipangua lenyewe na hapo maana yake mafuta yatatumika mengi. Kundi hili mara nyingi transmission zake hazizidi 4 speed na kama itazidi ni 5 but ni chache sana. Zenye P R D 4 3 2 L AU 1 ni zenye hadi 7 speed. Nyingi ni za kisasa na zenye mambio mengi.
Hizi wamekurahisishia. Badala ya kile kiswitch cha OD wamekuwekea hizo 4 3 nk. Hazina hako kadude tena. Na sina uhakika kama hiyo button ina mahusiano na kuongeza nguvu ya gari zaidi ya haya maelezo niliyotoa. Ila kwenye magari baadhi kuna buttons kwa ajiri ya kazi hiyo na imeandikwa Power/ Normal.
Ukiibofya itaaeika kwenye dash pia. Power kwa maana ya kwamba, kama gear ya kwanza ingechange katika speed 10 kwa mfano, then itachange katika speed 30. Hapa ni kwamba unataka mbio. Bei ya mafuta tunaifahamu kwa sasa nadhani. Hayo ni maelezo kwa jinsi mimi nijuavyo jamani.
na mie nimeamua kusubiri supp, maana somo gumu kweli, ukizingatia hii GX100 EXEED, ina button imeandikwa power na ka gear kameandikwa CRUISE, UKIZINGATIA NI 3.0 L. linakumywa wese kama jini ! Sijui hivyo vibutton vinamwaga mafuta nje !?Dah. Hili somo bado nitasupple. Kwenye premio kuna maneno huwa yanaonekana kwa rangi ya kijani 'economy' maana yake nini. Pia kuna vidude viwili kimoja ukibonyeza kinaleta alama ktk db 'manu' kingine'power'. Msaada angalu nifaidike na haya maana hili somo la od limenishinda
It should be used at highway speeds of over 55 mph(80Kph), but its OK to have it on all the time since your car wont shift into overdrive until the conditions are right (speed and RPM).
DU...Yaani ndugu zangu mbona mnateseka sana kuelezea ama kuelewa kitu hiki kidogo namna hii? Ni hivi, OD maana yake ni Top gear, yaani gear namba 5 full stop. Hivyo basi hutumika pale tu unapotaka kwenda kwa speed kubwa kwa maana kwamba utatumia gear zote tano za automatic car. Kwa hapa mjini ambapo speed ni chini ya 80kmph huna sababu yeyote ya kutumia OD. Ni kwawale wanaokwenda zaidi ya hiyo speed.
Kwenye harrier mpangilio wa gear kuna P R D then M ambayo ipo kwa ndani kidogo, ukiweka kwenye M inadisplay manual kwenye dash board na mlio unabadilika, mwenye kujua matumizi yake tafadhali.
Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha
General
Nadhani ile indication ya "overdrive" Huwa inawasumbua watu wengi Kuielewa!! Kwa Kawaida kama ile taa Haiwaki, Normal condition ndio Inakuwa gari Kialisia ipo kwenye Overdrive!! Na ukiwasha button ya overdrive inakuja message inasema "overdrive off!!" Means muda huo hauko kwenye overdrive na taa inakuwa inaonyesha kwenye Dashboard!! Na always kwenye dashboard kukiwa na any lighting ikiwa "on" hii inamaanisha something is not Normal!!..!
general
nadhani ile indication ya "overdrive" huwa inawasumbua watu wengi kuielewa!! Kwa kawaida kama ile taa haiwaki, normal condition ndio inakuwa gari kialisia ipo kwenye overdrive!! Na ukiwasha button ya overdrive inakuja message inasema "overdrive off!!" means muda huo hauko kwenye overdrive na taa inakuwa inaonyesha kwenye dashboard!! Na always kwenye dashboard kukiwa na any lighting ikiwa "on" hii inamaanisha something is not normal
Magari mengi ya automatic gear from 2000 hayana hii kitu........ni old technology
Overdrive is a term used to describe a mechanism that allows an automobile to cruise at sustained speed with reduced engine speed, leading to better fuel consumption, lower noise and lower wear. Use of the term is confused, as it is applied to several different, but related, meanings.
Mkuu magari karibu yote ya automatic yanatumia Hydraulic transmission siyo gea za meno!
Magari mengi ya automatic gear from 2000 hayana hii kitu........ni old technology
Overdrive is a term used to describe a mechanism that allows an automobile to cruise at sustained speed with reduced engine speed, leading to better fuel consumption, lower noise and lower wear. Use of the term is confused, as it is applied to several different, but related, meanings.
The most fundamental meaning is that of an overall gear ratio between engine and wheels, such that the car is now over-geared and can no longer reach its potential top speed, i.e. the car could travel faster if it were in a lower gear, with the engine turning more quickly. The purpose of such a gear may not be immediately obvious. The power produced by an engine increases with the engine's speed to a maximum, then falls away. The point of maximum power is somewhat slower than the absolute maximum speed to which the engine is limited, the "redline" speed. A car's speed is limited by the power available to drive it against air resistanceso the maximum possible speed is obtained at the engine's point of maximum power, or power peak, and the gear ratio necessary to achieve this will be the single ratio between these two speeds.
As the power needed increases dramatically at high speeds, most cars will be capable of achieving a fast cruising speed slightly less than their maximum, but with far less power being required. This power is available well below the engine's power peak and so the ideal cruising gear is an overdrive gear, a ratio higher than that for absolute top speed.
With the early development of cars and the almost universal rear-wheel drive layout, the final drive (i.e. rear axle) ratio for fast cars was chosen to give the ratio for maximum speed. The gearbox was designed so that, for efficiency, the fastest ratio would be a 'direct-drive' or 'straight-through' 1:1 ratio, avoiding frictional losses in the gears. Achieving an overdriven ratio for cruising thus required a gearbox ratio even higher than this, i.e. the gearbox output shaft rotating faster than the original engine speed. The propeller shaft linking gearbox and rear axle is thus overdriven, and a transmission capable of doing this became termed an "overdrive" transmission.
The device for achieving an overdrive transmission was usually a small separate gearbox, attached to the rear of the main gearbox and controlled by its own shift lever.These were often an optional extra on some models of the same car.As popular cars became faster relative to legal limits and fuel costs became more important, particularly after the 1973 oil crisis, the use of 5-speed gearboxes became more common in mass-market cars. These had a direct fourth speed with an overdrive top gear, replacing the need for the separate overdrive gearbox.
With the popularity of front wheel drive cars, the separate gearbox and final drive have merged into a single transaxle. There is no longer a propeller shaft and so one meaning of "overdrive" can no longer be applied. However the fundamental meaning, that of an overall ratio higher than the ratio for maximum speed, still applies. Although the deliberate labelling of an overdrive is now rare, the underlying feature is now found across all cars.