Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Nijuavyo mimi O/D Inatumika kuongeza mkandamizo wa pistoni hivyo kuipa engine nguvu.
Inakua On pale unapominya kitufe cha O/D na kwenye dashboard taa ya O/D itawaka na kuonyesha maandishi ya O/D OFF.
Na kitaalamu inatakiwa uminye O/D gari ikiwa kunzia spee 40 na kuendelea.
 
Over drive ni kama gia namba tano. Gari inapokuwa katika mwendo wa kuanzia km 60/H ili kuifanya iwe na kasi unaweka Over drive. Unapominya kale ka batani na maandishi kufutika katika dash board unakuwa umeweka ON na unapo kaacha kakiwa kametokeaa nje na wakati huo huo maandishi OD/OFF maana yake kanakuwa OFF.

Kitaalamu usiweke ON ukiwa katika mwendo wa kawaida chini ya Km 50 au 40/H kwani utakuwa unatumia mafuta mengi na usiendeshe gari ukiwa km 60H au zaidi wakati Over drive ipo OFF kwa maana ya kuwa maandishi yanasomeka katika dash board utakuwa unaifanya gari kuwa nzito na kutumia mafuta mengi kwani utakuwa ni kama unalazimisha gari kwenda kasi kwa gia namba nne.

NASISITIZA: Ukikaminya kale ka tufe na maandishi kufutika katika dash board maana yake umeweka ON na hivyo lazima uwe katika mwendo fulani wa kasi hivyo kuipa gari wepesi zaidi. Kwa mfano ukiwa unakwenda mwendo wa kasi wakati taa ya OD/OFF inawaka kwa maana unakuwa hujaweka Over drive ON utaona gari inakuwa nzito na injini inaunguruma sana Hapo ujue gari inadai gia namba tano ambayo inafyatuliwa na Over drive ON kwa maana ya kwamba unatakiwa ukaminye hako kadude pembeni ya gear leaver.

Ukikaacha kale katufe nje na taa ya OD/OFF kuonekana kwenye dash board maana yake hapo unakwenda mwendo wa kawaida usiokuwa wa kasi na hivyo haina haja ya kuweka gia namba tano ambayo ni kama inafyatuliwa na hako katufe unapokuwa umekaminya.

Hata hivyo unapokuwa katika mwendo wa kawaida sio rahisi kuhisi majibu ya gari wakati unapokuwa umekaminya hako katufu au unapokuwa umeweka OD/ON kwa maana ya kuwa taa inakuwa imezima hapo kwenye dash board.

Ni pale tu unapokuwa upo katika mwendo wa kasi na ukiwa huja kaweka au kukaminja hako kadude ndipo unaona gari inapiga kelele sana kwa maana ya kuwa ni kama unalazimisha kwenda kasi kwa gia namba nne. Ukikaminya tu hako kadude utaona gari imejibu na kelele kwenye injini hutaisikia na gari itakuwa inatiririka fresh kabisa.

Hii utaigundua kama unakwenda safari ndefu hasa katika high way lakini katika safari za maforeni kama hapa Dar hakuna haja ya kuweka OD/ON. Nitarudi kama bado utapata shida.
 
Nijuavyo mimi O/D Inatumika kuongeza mkandamizo wa pistoni hivyo kuipa engine nguvu.
Inakua On pale unapominya kitufe cha O/D na kwenye dashboard taa ya O/D itawaka na kuonyesha maandishi ya O/D OFF.
Na kitaalamu inatakiwa uminye O/D gari ikiwa kunzia spee 40 na kuendelea.
Umejibu vema. Kwa ufupi ukiweka OD/ON ni kama umeweka gia namba 5 hivyo kuipa wepesi na kasi zaidi gari. Nilipomjibu mtoa mada mimi nilipendekeza kuanzia Km 50 au 60. Hata hivyo 40 ina wezekana pia.
 
Over drive ni kama gia namba tano. Gari inapokuwa katika mwendo wa kuanzia km 60/H ili kuifanya iwe na kasi unaweka Over drive. Unapominya kale ka batani na maandishi kufutika katika dash board unakuwa umeweka ON na unapo kaacha kakiwa kametokeaa nje na wakati huo huo maandishi OD/OFF maana yake kanakuwa OFF.

Kitaalamu usiweke ON ukiwa katika mwendo wa kawaida chini ya Km 50 au 40/H kwani utakuwa unatumia mafuta mengi na usiendeshe gari ukiwa km 60H au zaidi wakati Over drive ipo OFF kwa maana ya kuwa maandishi yanasomeka katika dash board utakuwa unaifanya gari kuwa nzito na kutumia mafuta mengi kwani utakuwa ni kama unalazimisha gari kwenda kasi kwa gia namba nne. NASISITIZA: Ukikaminya kale ka tufe na maandishi kufutika katika dash board maana yake umeweka ON na hivyo lazima uwe katika mwendo fulani wa kasi hivyo kuipa gari wepesi zaidi. Kwa mfano ukiwa unakwenda mwendo wa kasi wakati taa ya OD/OFF inawaka kwa maana unakuwa hujaweka Over drive ON utaona gari inakuwa nzito na injini inaunguruma sana. Hapo ujue gari inadai gia namba tano ambayo inafyatuliwa na Over drive ON kwa maana ya kwamba unatakiwa ukaminye hako kadude pembeni ya gear leaver. Ukikaacha kale katufe nje na taa ya OD/OFF kuonekana kwenye dash board maana yake hapo unakwenda mwendo wa kawaida usiokuwa wa kasi na hivyo haina haja ya kuweka gia namba tano ambayo ni kama inafyatuliwa na hako katufe unapokuwa umekaminya.

Hata hivyo unapokuwa katika mwendo wa kawaida sio rahisi kuhisi majibu ya gari wakati unapokuwa umekaminya hako katufu au unapokuwa umeweka OD/ON kwa maana ya kuwa taa inakuwa imezima hapo kwenye dash board. Ni pale tu unapokuwa upo katika mwendo wa kasi na ukiwa huja kaweka au kukaminja hako kadude ndipo unaona gari inapiga kelele sana kwa maana ya kuwa ni kama unalazimisha kwenda kasi kwa gia namba nne. Ukikaminya tu hako kadude utaona gari imejibu na kelele kwenye injini hutaisikia na gari itakuwa inatiririka fresh kabisa. Hii utaigundua kama unakwenda safari ndefu hasa katika high way lakini katika safari za maforeni kama hapa Dar hakuna haja ya kuweka OD/ON. Nitarudi kama bado utapata shida.

Asanteni kwa Majibu mazuri; lakini samahani bado naona kuna shida kidogo hapo kwenye wakati gani O/D inakuwa On maana naona majibu yanasigana kidogo na baadhi ya waelimishaji; sasa napata shida hapa nishike lipi?
Lakini vinginevyo nimepata darasa zuri kabisa nashukuru sana.
 
Inakuwa on kama hakuna maandishi kwenye dashboard.
 
Ni kweli aloyatanabaisha Talimumu. Wengi hua tunakosea kwamba ikisomeka OD OFF eti ndo iko On. Hilo neno off pekee likusaidie kujua kwamba Over Drive is Off... na speed si 60. Yapasa kuwa above 80. 60 bado inakua kwenye mwendo wa wastani.
Wakatabahu.
 
Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani 180km/h ili ufikishe speed 120km/h basi rpm inaweza kua 4000rpm. Katka barabara tambarare. Ila ukiweka over drive unaweza tembea speed hiyo hiyo kwa rpm 2000 katika barabara tambarare. Hop umelewa kazi yake.
 
Over drive ni kama gia namba tano. Gari inapokuwa katika mwendo wa kuanzia km 60/H ili kuifanya iwe na kasi unaweka Over drive. Unapominya kale ka batani na maandishi kufutika katika dash board unakuwa umeweka ON na unapo kaacha kakiwa kametokeaa nje na wakati huo huo maandishi OD/OFF maana yake kanakuwa OFF.

Kitaalamu usiweke ON ukiwa katika mwendo wa kawaida chini ya Km 50 au 40/H kwani utakuwa unatumia mafuta mengi na usiendeshe gari ukiwa km 60H au zaidi wakati Over drive ipo OFF kwa maana ya kuwa maandishi yanasomeka katika dash board utakuwa unaifanya gari kuwa nzito na kutumia mafuta mengi kwani utakuwa ni kama unalazimisha gari kwenda kasi kwa gia namba nne. NASISITIZA: Ukikaminya kale ka tufe na maandishi kufutika katika dash board maana yake umeweka ON na hivyo lazima uwe katika mwendo fulani wa kasi hivyo kuipa gari wepesi zaidi. Kwa mfano ukiwa unakwenda mwendo wa kasi wakati taa ya OD/OFF inawaka kwa maana unakuwa hujaweka Over drive ON utaona gari inakuwa nzito na injini inaunguruma sana. Hapo ujue gari inadai gia namba tano ambayo inafyatuliwa na Over drive ON kwa maana ya kwamba unatakiwa ukaminye hako kadude pembeni ya gear leaver. Ukikaacha kale katufe nje na taa ya OD/OFF kuonekana kwenye dash board maana yake hapo unakwenda mwendo wa kawaida usiokuwa wa kasi na hivyo haina haja ya kuweka gia namba tano ambayo ni kama inafyatuliwa na hako katufe unapokuwa umekaminya.

Hata hivyo unapokuwa katika mwendo wa kawaida sio rahisi kuhisi majibu ya gari wakati unapokuwa umekaminya hako katufu au unapokuwa umeweka OD/ON kwa maana ya kuwa taa inakuwa imezima hapo kwenye dash board. Ni pale tu unapokuwa upo katika mwendo wa kasi na ukiwa huja kaweka au kukaminja hako kadude ndipo unaona gari inapiga kelele sana kwa maana ya kuwa ni kama unalazimisha kwenda kasi kwa gia namba nne. Ukikaminya tu hako kadude utaona gari imejibu na kelele kwenye injini hutaisikia na gari itakuwa inatiririka fresh kabisa. Hii utaigundua kama unakwenda safari ndefu hasa katika high way lakini katika safari za maforeni kama hapa Dar hakuna haja ya kuweka OD/ON. Nitarudi kama bado utapata shida.
Mkuu asante sana kwa elimu na ninaomba nichote hii post yako hapa. Nimekuwa nikiendesha na OD/OFF on muda mrefu sana bila kujua na nitakuwa nimechosha sana engine. Matokeo yake OD/OFF imeanza ku blink. Sasa kitaalam over use of it nipe ujuzi. Du nimesikitika sana.
 
Inakuwa on kama hakuna maandishi kwenye dashboard.

Mkuu imenisikitsha sana maana na mimi niijua ikifutika maana yake ni off. Aisee nimekuwa nikitembelea gari kwa zaidi ya 3 years iko on na sitembei sana mbali maana naishi mjini hardly less than 20 kms to and fro so hakuna sababu ya OD on.
 
Ni muhimu kuiweka on ili gea namba 5 ipatikane inapobidi.
 
Ni kweli aloyatanabaisha Talimumu. Wengi hua tunakosea kwamba ikisomeka OD OFF eti ndo iko On. Hilo neno off pekee likusaidie kujua kwamba Over Drive is Off... na speed si 60. Yapasa kuwa above 80. 60 bado inakua kwenye mwendo wa wastani.
Wakatabahu.

Sasa kwa nini kuiweka off unapokua spidi ndogo...
Ina faida gani ikiwa off kwa spidi ndo...
 
Sioni uhalisia kwenye majibu yenu. Practically huwa ikiwa haiwaki Inakuwa off. Jaribu kwenye gari yako utakubali.
 
Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani 180km/h ili ufikishe speed 120km/h basi rpm inaweza kua 4000rpm. Katka barabara tambarare. Ila ukiweka over drive unaweza tembea speed hiyo hiyo kwa rpm 2000 katika barabara tambarare. Hop umelewa kazi yake.

Umejibu kitaalamu sana!!!! , kifupi ni gia ya mwisho kwa mwendokasi mkubwa ikitumia mizunguko michache ya engine, Miaka ya 80 magari manual ya nissan yalikuwa na gear sequence ya 1,2,3,4 then OD. baadaye wakabadilisha format na kuandika namba tano badala ya OD.

Waliosema "Od"ni gia namba tano wako sahihi kutegemeana na muundo wa gear box, lakini miaka ya karibu gari nyingi za automatic zina gia sita, kwa hiyo Od, kwa latest gearbox ni gia namba sita..
 
Over drive ikiwa on means automatic
Wana JF wenzangu, awali ya yote naomba kukiri mapungufu yangu kupitia lugha hii ya kigeni(Kiingereza), mimi ni muumini mzuri wa Kiswahili, hivyo natumai elimu mtakayo nipa juu ya swali langu litakuwa kupitia kiswahili fasaha.
Binafsi naomba mnisaidie kufahamu umuhimu wa hii kitu inayoitwa "Over Drive" katika gari ya automatic. Nimekuwa nikiiona sana kwenye jamii hii ya magari lakini nini matumizi yake na wakati gani hutumika sijawahi kujua,kwani katika kuendesha kwangu gari na kujaribu kuitumia hiyo O/D sijawahi gundua tofauti.
Swali langu ni kwamba ni wakati gani hii O/D inakuwa inafanya kazi; ni pale ambapo ukiibonyeza na kusomeka kwenye Dashboard iko Off au isiposomeka kwenye Dashboard. Maana nimewahi wauliza mafundi kadhaa hakuna aliyewahi nipa jibu la uhakika.
Pili naomba kujua faida na hasara za kutumia O/D.
"Asante."
Nawasilisha.

Over drive ikiwa on manaake ni pale lile taa la off linaonekana kweny dashboard..hiyo overdrive imewekwa Kama option yakutumia wakati ukiwa unatembelea speed chini ya 60km/h..mana yake ukiwa mjini na gari inatumia gear kubwa tu....taa likiwa halionekani means iko Automatic na ndivo inavopendekezwa na wataalam gari iwe automatic pindi upo mjini na unatembelea speed tofauti(sometimes less or more than 60)..kwa vile overdrive inatumia gear kubwa na speed less than 60km kwahio unaweza kutumia wakati unashuka milima mikubwa
 
Over drive ni kama gia namba tano. Gari inapokuwa katika mwendo wa kuanzia km 60/H ili kuifanya iwe na kasi unaweka Over drive. Unapominya kale ka batani na maandishi kufutika katika dash board unakuwa umeweka ON na unapo kaacha kakiwa kametokeaa nje na wakati huo huo maandishi OD/OFF maana yake kanakuwa OFF.

Kitaalamu usiweke ON ukiwa katika mwendo wa kawaida chini ya Km 50 au 40/H kwani utakuwa unatumia mafuta mengi na usiendeshe gari ukiwa km 60H au zaidi wakati Over drive ipo OFF kwa maana ya kuwa maandishi yanasomeka katika dash board utakuwa unaifanya gari kuwa nzito na kutumia mafuta mengi kwani utakuwa ni kama unalazimisha gari kwenda kasi kwa gia namba nne. NASISITIZA: Ukikaminya kale ka tufe na maandishi kufutika katika dash board maana yake umeweka ON na hivyo lazima uwe katika mwendo fulani wa kasi hivyo kuipa gari wepesi zaidi. Kwa mfano ukiwa unakwenda mwendo wa kasi wakati taa ya OD/OFF inawaka kwa maana unakuwa hujaweka Over drive ON utaona gari inakuwa nzito na injini inaunguruma sana. Hapo ujue gari inadai gia namba tano ambayo inafyatuliwa na Over drive ON kwa maana ya kwamba unatakiwa ukaminye hako kadude pembeni ya gear leaver. Ukikaacha kale katufe nje na taa ya OD/OFF kuonekana kwenye dash board maana yake hapo unakwenda mwendo wa kawaida usiokuwa wa kasi na hivyo haina haja ya kuweka gia namba tano ambayo ni kama inafyatuliwa na hako katufe unapokuwa umekaminya.

Hata hivyo unapokuwa katika mwendo wa kawaida sio rahisi kuhisi majibu ya gari wakati unapokuwa umekaminya hako katufu au unapokuwa umeweka OD/ON kwa maana ya kuwa taa inakuwa imezima hapo kwenye dash board. Ni pale tu unapokuwa upo katika mwendo wa kasi na ukiwa huja kaweka au kukaminja hako kadude ndipo unaona gari inapiga kelele sana kwa maana ya kuwa ni kama unalazimisha kwenda kasi kwa gia namba nne. Ukikaminya tu hako kadude utaona gari imejibu na kelele kwenye injini hutaisikia na gari itakuwa inatiririka fresh kabisa. Hii utaigundua kama unakwenda safari ndefu hasa katika high way lakini katika safari za maforeni kama hapa Dar hakuna haja ya kuweka OD/ON. Nitarudi kama bado utapata shida.

Safi sana aisee
 
Hata mimi ni kihiyo kwa jambo hilo. Ngoja Tusubiri wajuzi
 
Back
Top Bottom