Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Kwa ufahamu wangu OD ikiwa off yaani taa kwenye dashboard inawaka fuel consumption inakuwa low na speed inafika hadi 130 km/h na fuel rotation haipandi kuzidi 3 lakini OD ikiwa ON yaani taa imezima fuel consumption lazima itakuwa kubwa sbb umeweka extra power na hapo speed ni hadi unamaliza dashboard na rotation inafika 5.
USHAURI: usiendeshe gari OD ikiwa ON kwa maeneo ya mjini sbb ni wastage of fuel na kama upo long safar weka OD ON kama una overtake tu na si vinginevyo.
 
Hapa umechemsha. Maelezo yako yanakingana kabisa na kazi ya OD. Jaribu kupitia thread za nyuma ambazo zilichambua hili jambo. Kwa kifupi OD ikiwa off ndio gari inakuwa nzito na inatumia mafuta zaidi.
Kwa ufahamu wangu OD ikiwa off yaani taa kwenye dashboard inawaka fuel consumption inakuwa low na speed inafika hadi 130 km/h na fuel rotation haipandi kuzidi 3 lakini OD ikiwa ON yaani taa imezima fuel consumption lazima itakuwa kubwa sbb umeweka extra power na hapo speed ni hadi unamaliza dashboard na rotation inafika 5.
USHAURI: usiendeshe gari OD ikiwa ON kwa maeneo ya mjini sbb ni wastage of fuel na kama upo long safar weka OD ON kama una overtake tu na si vinginevyo.
 
"OD" is referring to the OverDrive function of your transmission. This is used for highway driving to conserve fuel and achieve better fuel economy.
"OD Off" is telling you that the OverDrive has been turned off.

This is usually done by a button on the gear shifter or a particular gear shift position marked with "OD
 
Bado sijaelewa vri
 
Sijaelewa vizuri hapo, embu eleza vizuri je ni wakati gani taa ya Dash board itawaka ikiwa OD ikiwa ON au OFF?
 
"OD" is referring to the OverDrive function of your transmission. This is used for highway driving to conserve fuel and achieve better fuel economy.
"OD Off" is telling you that the OverDrive has been turned off.

This is usually done by a button on the gear shifter or a particular gear shift position marked with "OD

Thanx for your information
 
Kawaida taa ya Over Drive ikiwa on gari huwa nyepesi sana na inatafuna sana mafuta...taa ikizima means Over Drive iko off na ndio normality yake....make sure km upo mjini au sehemu ambayo huhitaji kuendesha speed kali taa ya OD iko off ili ku-serve mafuta???
 
Kwa ufahamu wangu OD ikiwa off yaani taa kwenye dashboard inawaka fuel consumption inakuwa low na speed inafika hadi 130 km/h na fuel rotation haipandi kuzidi 3 lakini OD ikiwa ON yaani taa imezima fuel consumption lazima itakuwa kubwa sbb umeweka extra power na hapo speed ni hadi unamaliza dashboard na rotation inafika 5.
USHAURI: usiendeshe gari OD ikiwa ON kwa maeneo ya mjini sbb ni wastage of fuel na kama upo long safar weka OD ON kama una overtake tu na si vinginevyo.

Ahsante kwa shule mkuu
 
Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off
Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.

Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.
mandella upo wrong
Dashboard ikionyesha taa yoyote ni alert
O/D ikiwa On ndio normal yaani unaendesha mpaka gia namba tano
Ikiwa Off ambako taa inawaka unaishia gia number nne hivyo unaongeza engine rpm uvute kasi zaidi labda ukiwa unapanda kilima ama unaovertake
Ile taa ikiwaka inakuremind kuwa upo kwenye abnormal driving
 
Last edited by a moderator:
Ukiendesha hakikisha kwenye dashboard hakuna taa yoyote inawaka zaidi ya zile za gearliver tu.

Nadhani umeenda kinyume kwa mujibu wa mleta uzi. OD ikiwaka kwenye dashboard ujue ipo OFF na ikiwa imezimwa kwenye dashboard ujue OD ipo ON.
 
Back
Top Bottom