Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,920
Reaction score
3,240
Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake.

Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na moderators na apps nyingine kama vile Apollo ambayo ni app inayotumia contents za Reddit kwa kutumia API yake.

API ni kifupisho cha Application Programming Interface, ambayo ni njia ya kuwasiliana na programu nyingine. Kwa mfano, kama unataka kutumia programu ya simu ya Reddit, unahitaji API ya Reddit ili uweze kupata maudhui yote yanayopatikana kwenye tovuti yake. API inaruhusu programu mbili au zaidi kubadilishana data na kuagiza vitendo.

reddit-usage-and-growth-statistics.webp

Kwa kawaida Reddit imekuwa ikiweka API iwe inapatikana bure na kila mtu ana uhuru wa kuitumia na kutengeneza platform ambayo inatumia contents na mfumo wa Reddit. Mfano app ya Apollo ni app ambayo inatumia platfom ya Reddit kwa kutumia API yake. Pia moderators wengi wanatumia app ya Bot ambayo inawasaidia ku-post kwenye Reddit na kusimamia majukumu mbalimbali. Watu wengi hawapendi kuitumia platform ya Reddit original kwa sababu haina mwonekano mzuri lakini katika Third Party kuna mwonekano mzuri na kuna features nyingi ambazo hazipatikani kwenye Reddit ya kawaida.

April 18 mwaka huu; Reddit ilitangaza kuwa API itaanza kuwa ya kulipia. Na bei yake ambayo Reddit imesema ni kubwa sana na haina uhalisia kwa Third Party ambao wanatumia API ya Reddit kuitumia. Mfano app ya Apollo inalazimika kulipia dola Milioni 20 kwa mwaka, kitendo ambacho kimeonyesha kuwa Reddit imeamua kuzuia API yake isitumike makusudi.

image-5.png

Apollo ni app ambayo inakwenda kupata hasara na tayari imesema kuwa itafunga app yake mwisho wa mwezi huu. Reddit imegoma kushusha gharama za API na moderators wake wameanza kugoma na kuamua kuweka mgomo wa kufunga subreddit zao.

PNG-image-copy.png

Reddit haikujibu vizuri ni kwanini imeamua kuweka gharama kubwa. Umekwepo mvutano mkubwa kati ya mwanzilishi wa Apollo na CEO wa Reddit; kwa sababu Apollo ni moja kati ya app ambayo imelalamika itaumia kwa sababu ya mabadiliko hayo ya API.

Mwanzo CEO wa Reddit - Steve Huffman; alionekana amemjibu vibaya Christian na alisema kuwa mwanzilishi wa app ya Apollo ametishia kuifungulia kesi Reddit. Lakini mwanzilishi wa app ya Apollo ambaye ni Christian Selig alisema taarifa hizo sio za kweli na alitoa ushahidi wake wa calls zote alizokuwa anawasiliana na CEO wa Reddit. Na kupelekea CEO wa Reddit kuomba msamaha kwa kumsingizia Christian kuwa ameitishia Reddit.

Kwanini watu wengi hawapendi kutumia Reddit lakini wanatumia apps kama vile Apollo ambayo inatumia API ya Reddit?​

  1. Ni kwa sababu Reddit ina mwonekano mbaya, na ina features nyingi ambazo zinakosekana. Mfano hauwezi kufungua video vizuri na hauwezi ku-save HD Pictures.
  2. Reddit haina sehemu nzuri ya Accessibility. Watu ambao wana mahitaji maalum wanatumia app kama vile Apollo.
  3. Moderators wanatumia API ya Bot kwa sababu ina tools nyingi za kusimamia posts na contents.
  4. API ya Reddit itakuwa haikubali contents za “Not Safe for Work”.
BlogHeader_PortalSnoo_002.png

Kwanini Reddit imeamua kuweka API iwe ya kulipia, na kuweka gharama kubwa?​

  1. Kwa sababu uchumi ni mgumu na hali za kibiashara katika kampuni za tech ni changamoto. Na Reddit haipati faida sana kupitia matangazo hivyo inajaribu kuweka vyanzo vya mapato kupitia API yake.
  2. Reddit ina mpango wa kuingia katika soko la Hisa, hivyo inalazimika kuweka mfumo wa kupata thamani kubwa endapo kama itaingia kwenye soko la hisa
  3. Ongezeko la AI duniani: Hizi Generative AI ambazo tunaziona duniani mfano ChatGPT na Bard ya Google zinatumia texts na taarifa nyingi za texts katika kutengeneza mfumo wa Akili Bandia na kujibu maswali. Data zake zinazotumika ni data za Twitter, Reddit, Quora na platform nyingine nyingi. Akili Bandia hizo zinatumia API za mitandao ya kijamii ili kusoma na kuona texts na contents. Zinachukua contents hizo na kuzitumia katika kufundisha Akili bandia bure bila kulipa hizo platforms ambazo contents zake zinatumika. Reddit inalazimika kuzuia API yake isiwe rahisi kuipata ili kuzuia Akili Bandia zisitumia contents zake. Hali hii pia iliikuta Twitter mwaka huu na kulazimisha Twitter iongeze gharama zake.

Subreddits kubwa hazipatikani na Moderators wanatishia kuacha kuweka contents kwenye mtandao wa Reddit. Wengi wanahisi mabadiliko haya yataharibu mfumo na biashara ya Reddit. Bado mgomo unaendelea na Subreddits kubwa bado hazipatikani na moderators wamegoma kuendelea kuweka contents kwenye mtandao huo.

Taarifa nzuri
 
Asante saana
 
Mi ni mtumiaji mkubwa wa Redit Since Sept 23 sijawahi experience hiki kitu...na ndo bandiko hili naliona Leo

Pia Apolo sijawahi ijua pia...

Kinacho nifurahisha 😄😄😄😄 Kwa Akili yangu fupi nlijua kuwa kwenye Redit member wa Jf tutakuwa wachache sanaaa.
Kumbe Maguru mpo metulia tuu mnaendelea kuona maajabu ya Dunia kwenye ule mtandao ambao umetoa Uhuru wa kujadili mpaka mahusiano ya ndoa ya jinsia moja...Na hata kwenda mbali zaidi on how to enjoy sex in a same Gender. (R.sex) damn it.😬😤😤😤.
Any way ni mtandao wenye maudhui Makubwa Sanaa na ya wenye akili kubwa ambayo sio ya kitoto.

Siku moja nlipanga kuja na short Int ya huu mtandao ambao uko Dominated na English Languo.
 
Reddit ndio kila kitu kwangu. Kuna subreddits mle nazipenda sana.
 
Advantage zake ni kama zipi?
Ni kama JF na majukwaa yake. Ila wenyewe wanayo mengi zaidi na yako specific kabisa.

Mfano: JF tuna jukwaa la Magari/Garage

Wao wanalo la Magari peke yake, La magari ya umeme, La magari ya Umeme ya Tesla, La magari ya Umeme ya Tesla ya Tesla Model 3…. Kwahiyo wana majukwaa (subreddit) elfu kwa elfu
 
Sawa sawa..vipi huko dunian wenzetu wana vichwa vibovu kama vilivyojaa humu vya generarion z?? Michango yao na mitazamo kiujumla..au nao ndio kama hawa wetu ,mtu aki comment wanza utaona "nafasi ya kwanza"
 
Hawakosekani. Sema kule mtu unafollow jukwaa unalotaka. Unaweza ukafollow majukwaa ya magari tu.

Au mambo ya jeshi tu.

Hauna haha ya kukutana na post za jumwaa ambazo hauja follow hadi uamue wewe.
 
Reddit ndio kila kitu kwangu. Kuna subreddits mle nazipenda sana.
Take advice to JF moderator to Govern there thread and giving more space of free like that Social Platform🤣🤣🤣

Ukiingia rtanzania ukakutana na kidhungu cha hivi usicheke ujue member mwenzio kutoka JF
 
Tungepewa option ya kufollow majukwaa.
 
Back
Top Bottom