Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
JF ipo kizamani sana unaweza ignore mada flani au jukwaa fulani lakini kila ukiingia unakutana na hizo mada au hayo majukwaa... Kiufupi hawana ubunifu na imekuwa kero sanaTungepewa option ya kufollow majukwaa.