Fahamu kuhusu Private Jets

Wao wameanza zamani sana kuwa na hivyo vyuma alafu wao ni wazee wa Gulfstream kwenda mbele.. kuanziaa kwa Papa Idahosa.. Oyedepo .. ile chuma alishuka nayo TB Joshua alikuja na Gulfstream G550
View attachment 2733950
Alafu mshua alikuwa anapinga kama anamilika hiyo chuma asipoteze wafuasi, mwewe huyo unaambiwa alikuwa anacost $ 60 millions, sio mchezo kabisa.
 
“Mtume” yupo vizuri basi.

Nadhani kwa bongo yetu hii changamoto kubwa ni ile operation costs wengi ndio hukwama lakini kwa acquisition cost sidhani kama ni tatizo kwa “mataita” wengi mjini kumiliki.
Ila maintenance ya Cessna 208, C172 inawezekana hata kwa mwenye mshahara wa 2mil kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…