Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Haya tupe gharama za leseni na cabin Crew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tena,alafu analazimisha ku-trend kwa kususa bana.yani akisusa kumbembeleza ni mpaka mumuimbie mashairi yaliyonyooka ya kumsifia sana ndio kwa mbaali anarudi kwenye mstari,,kha,,!😅😂Tajiri yetu ni mbabaifu sana. 😅
🤣🤣Muweke tajiri MO kwenye list ya wamiliki ndege,hata kama hana muweke tu akiona atafurahi mno.mzee wa kususa yule.
Alafu mshua alikuwa anapinga kama anamilika hiyo chuma asipoteze wafuasi, mwewe huyo unaambiwa alikuwa anacost $ 60 millions, sio mchezo kabisa.Wao wameanza zamani sana kuwa na hivyo vyuma alafu wao ni wazee wa Gulfstream kwenda mbele.. kuanziaa kwa Papa Idahosa.. Oyedepo .. ile chuma alishuka nayo TB Joshua alikuja na Gulfstream G550
View attachment 2733950
Kazi kweli kweli, hakika tumepata tajiri pale 😂Sana tena,alafu analazimisha ku-trend kwa kususa bana.yani akisusa kumbembeleza ni mpaka mumuimbie mashairi yaliyonyooka ya kumsifia sana ndio kwa mbaali anarudi kwenye mstari,,kha,,!😅😂
Hahaha unaweza kukuta unanunua unaishia kupaki tu kama hawa watoto unakuta ana iphone 14 ila anakuomba hela ya bandoNunua upaki kwanza mkuu, [emoji23][emoji23]
Waumini wa Nigeria watoaji sana lakini, si umeon juzi juzi.. muumini kampelekea Orokpo G63 AMG Mercedez mpyaa.. gari zaidi ya 800 millions za kibongoAlafu mshua alikuwa anapinga kama anamilika hiyo chuma asipoteze wafuasi, mwewe huyo unaambiwa alikuwa anacost $ 60 millions, sio mchezo kabisa.
Jamaa watoaji .. huwa nasoma mambo yao.. unaangalia mtu anachotoa hadi unasema hiii.. huku bado sanaaa 😅😅Wanalipa fadhila.
Muwe mnajikita kwenye mada husika,inaongelewa ndege jihusishe na ndegeMi nakubali sana zile private boats zina unyama sana.
Anza na C172Ndege hizo aina ya kwenye gulfstream family nazihusudu sana ikifuatiwa na cessna citation max..Basi tu resource sina ngetamani kuishi dream zangu
Ila maintenance ya Cessna 208, C172 inawezekana hata kwa mwenye mshahara wa 2mil kwa mwezi“Mtume” yupo vizuri basi.
Nadhani kwa bongo yetu hii changamoto kubwa ni ile operation costs wengi ndio hukwama lakini kwa acquisition cost sidhani kama ni tatizo kwa “mataita” wengi mjini kumiliki.
Mitume wote Tz wana pesa sana maana wajinga wengimtume ana hela mingi sana.. ni kama maji yasio na fujo yule.. Napenda wanaigeria wanajilipua sana
Hana ila huwa anakodi ndege kwa safari za AfrikaMuweke tajiri MO kwenye list ya wamiliki ndege,hata kama hana muweke tu akiona atafurahi mno.mzee wa kususa yule.
Hata Cessna zinabeba mafuta ya masaa 5Hakika kama bajeti inatosha medium basi hata zile very light sio changamoto.
Kwa medium jet zinakwenda mpaka 5 hours at cruising speeds mkuu.