kama majitu yanaongopa umri ili yaendelee kusinzia na kujamba maofisini unadhani kuna ambaye atakuunga mkono kwa wazo lako la kustaafu mapema? ama kuach tu kazi ili ufanye biashara zako? kimsingi watu ni waoga sana na kuna ile kasumba hata kuaminiwa mtaani ni lazima uwe umeajiriwa somewhere na wala sio kujiajiri. Kupumzika mapema ni jambo jema hata kiafya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.