Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Kisbo bombastic unaijua ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Hai express kufika 12 jion ilikuwa kawaida tu, au kisbo ilivyokuwa inaenda mbeya ilikuwa napema tu 12 jion mko mbeya mjin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu muda ,,Sauli hajawahi kuingia muda huu,, na hakuna gari yeyote toka vts ianze ushawahi kuingia muda uo,, ni record iyo Golden deer (NF) DPK 715 chini ya uangalizi wa Jaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Volvo nmeshaona basi moja Tz.

Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba kuna basi haziwezi kuja Bongo sababu ya sheria zetu. Unakuta basi ni ndefu kupitiliza.


Mfano kuna basi ya mjerumani inaitwa Setra SD.
Ile kauli mbiu ya Scania, when I grow up I want to be a scania.

Hivi hua naona mabasi ya Volvo,Actros na mengine huko ulaya kwenye tv ila mbona bongo siyaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilicho wafanya muwahi kufika mbeya sio mbio za sauli, Bali ni uwezo wa kuhimili (stable torque) wa engine ya 95
😁😁😁 Kuna engine haina stable torque em tufafanulie ...kama sio mbio wangewahije?

By the way hiyo engine inatoa hp 310 tu
 

Zile Cummins zinazokuja na hizi chinese bus ni under licence wanatengeneza wao kwa jina la cummins
 

Bila shaka hiyo ni kangi lugola....sasa waulize hao alieko mbele ni nani..unasema sa saba na nusu wakat allys DQZ inapitaga hapo sa sita na nusu😊😊
 
Hahaahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbn haigher ...za dar lux zinasumbua sana njia ya mwanza to dar....yaani zinavyokohoa hata scania anapata tabu kuzipata sio kila kitu cha mchina ni kibovu

Service ndio inafanya magari haya kusumbua magari haya yanamfumo wa mechanic na electronic ...mafundi wengi wanayatengeneza kwa kubahatisha ndio maana hayadumu

sent from toyota Allex
 
Natamani nikuelezee Uzuri ila sidhan kam tutaelewana, angular force torque ipo kwenye kila engine , ila engine huwa zinatofautiana jinsi zinavoweza kuhimili hiyo force bila kutetereka ,
Mwisho wa siku torque ndo inadetermine ufanisi na sio power tena ndo mana unashangaa 95 ina horsepower 310 tu ila nguvu zake so kitoto.


Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Higer za dar lux kwa mwanza hazina hata miaka miwili unalinganisha na scania za miaka mingapi?, mama hata hizo sauli na rungwe zinazoongelewa hapa ni model ya 2013

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Achana na kitu Scania. Hizi corona za kichina YUTONG watu wanapenda urahisi na kuigana Scania ndio alikuwa mkombozi wetu. Kenya walivuma na NISSAN nao Uganda wakawa na VOLVO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye marine aende Temesa aone Catterpillar na Cummins vinavyoongoza kuwa na breakdown.

Ukienda Uganda katika ziwa Victoria maeneo ya Port Bell utakuta Cummins na Catterpillar kwenye vivuko zimetelekezwa.
 
nguvu ni nini kwani yani ushasema 310hp afu bado unasema ina nguvu si kitoto 🤔🤔 hiyo si ina torque 1550Nm ....max torque inakuwa produced within a specifed number of rpms past there or below there huwezi ipata
 
nguvu ni nini kwani yani ushasema 310hp afu bado unasema ina nguvu si kitoto [emoji848][emoji848] hiyo si ina torque 1550Nm ....max torque inakuwa produced within a specifed number of rpms past there or below there huwezi ipata
Twende taratibu inaezekana hujui kutofautisha Kati ya horsepower na torque

Unafahamu kuwa unapoipata hiyo 310 horsepower, torque huwa tayari inaanza kushuka au kupungua ?

Unafahamu unapoipata hiyo torque 1550Nm , bado unakuwa hujafikisha hiyo 310 horsepower ?
Kiufupi maximum torque na maximum power huwa hazikutani kwenye rpm graph, engine pekee duniani ambayo ilikuwa inajaribu ku maintain torque kuelekea kwenye power ilikuwa ni 1HD FTE kutoka watu wa Toyota ! super flat torque they call it

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 


Soma post zangu za zaman utaona nikielezea vizur torque versus hp miaka ya 2014...leo hii useme sjui hp na torque


Ni kingereza hujaelewa au em soma hapo ulipoquote uelewe mbona tayari nimeelezea
 
Vipi kuhusu mabasi mapya ya TATA MARCOPOLO BUS YALE YENYE BODY KAMA ZA U TONG .....YANAONEKANA KUWA IMARA KWA SASA .....KANDA YA ZIWA KUNA BATCO ANAYATUMIA KAMA JARIBIO ...HAYAONEKANI KUCHOKA YAPO IMARA SANA

Je haya yamekuja kutoa upinzani kwa scania bus , na kuna bus nzuri kabisa alikuwa nazo tajiri mmoja pale TANGA RAHA LEO ISUZU!! VIP HIZO

sent from toyota Allex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…