Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
11214016_1656691077932659_1638207980289968396_n.jpg



UFAHAMU KWA WENYE MAGARI;

Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika.

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako).

Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne.
Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa. kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999.
KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE.

Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi kama ifuatavyo

CODE SPIDI
F=============80
G=============90
J==============100
K==============110
L==============120
M==============130
N==============140
P==============150
Q==============160
R==============170
S==============180
T==============190
H==============200

Huandikwa hivi
280/R/70/13/150/S
Hapo herufi S inawakilisha spidi, 180

Chanzo: Photos de la publication de Dereva... - Dereva Makini-Ni Haki Yako Kufika Salama | Facebook
 
11214016_1656691077932659_1638207980289968396_n.jpg
UFAHAMU KWA WENYE MAGARI;

Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika.

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako)....
Ahsante kwa hii elimu, wiki nimelazimika kutupa tairi jipya kabisa nililonunua na gari mwaka 2010. Sikuwahi kufungua hiyo spea tairi ila nilipata pancha nilipokwenda kwa watu wa matairi nikaambia tairi imevimba haifaa tena, nikafunga ile ya spea.

Kesho yake nikaenda kwa wauza matairi nikiwa na lengo la kununua matairi matatu yashirikiane na lile moja lakini nilishauriwa kuwa lile tairi muda wowote likipata joto litapasuka hata kwa mabli nyufa kama sagamba zilianza kuonekana.

Sikua na jinsi zaidi ya kutupa tairi jipya lililokwisha muda wake
 
11214016_1656691077932659_1638207980289968396_n.jpg
UFAHAMU KWA WENYE MAGARI;

Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika.

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako).

Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne...
Mkuu, umetupatia knowledge nzuri sana. Ila nimejaribu kuangalia tairi za Kichina, hazina iyo mambo code speed.
 
Mkuu nashukuru Elimu nzuri sana.naomba kuuliza swali moja ku import tairi kutoka nje ya Nchi kwa ajili ya kuleta kuuza izi mpya ni vitu gani unatakiwa uvikamilishe kabla ya kuleta nazungumzia vibali vinavyotakiwa..
 
Asante kwa elimu nzuri ntakuwa makini kwenye ununuzi wa matairi.
 
ELIMU YA BURE YA GARI LAKO

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa.

Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE......hapo ndio inapotokea tairi mpya umenunua juzi kisha baada ya Wiki moja ya matumizi inapasuka puu ukiwa kwenye mwendo na kuanza kutafuta chanzo na usikione kuumbe lilisha Expire ivo ni vema kuchukua tahadhari.

Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo.

CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200

Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha Spidi,180.

Share na marafiki ili wawe salama na kwa ununuzi sahihi wa tairi la gari lako

#GLORY_BE_TO_GOD.
 
Back
Top Bottom