Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

*280/R/70/13/560/S
280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)
R-Radial type construction
70-aspect ratio/Front Section/height of the tyre(kimo Cha tairi kutoka chini ya tairi hadi inapoanzia rimu.
13-Diameter of the rim(ukubwa wa rimu)
560-Load rating(Uzito wa mzigo utakaoweza kubebwa na hiyo tairi.
S-Spidi
 
TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
Huo ni ugonjwa mkubwa sana. Ni yale makpuni makubwa tu tena nao no mara chache kukuta tairi ya mwaka huo.
 
280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)
R-Radial type construction
70-aspect ratio/Front Section/height of the tyre(kimo Cha tairi kutoka chini ya tairi hadi inapoanzia rimu.
13-Diameter of the rim(ukubwa wa rimu)
560-Load rating(Uzito wa mzigo utakaoweza kubebwa na hiyo tairi.
S-Spidi
Hapo kny S pakiwa R kirefu chake nini?
 
280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)
R-Radial type construction
70-aspect ratio/Front Section/height of the tyre(kimo Cha tairi kutoka chini ya tairi hadi inapoanzia rimu.
13-Diameter of the rim(ukubwa wa rimu)
560-Load rating(Uzito wa mzigo utakaoweza kubebwa na hiyo tairi.
S-Spidi
Sijaona ulipofafanua wiki na mwaka uliotengenezwa
 
TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
Tairi mpya zipo. Nimenunua mwaka huu na tairi ni za wiki ya 3, 2019. Ukiwa hujui suala la mwaka, utauziwa tairi mpya ila ya mwaka 2015 huko kwa bei poa na ukashangilia.
 
265/70R16.112S hii nayo ni vipi...?
Hiyo haina tofauti na niliyoelezea hapo juu.
265-width of the tyre
70-aspect ratio/height of the sidewall.
R-Radial construction type
16-Diameter of the rim.
112-Load rating
S-Speed rating which is 180km/hr
 
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa.
Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE......hapo ndio inapotokea tairi mpya umenunua juzi kisha baada ya Wiki moja ya matumizi inapasuka puu ukiwa kwenye mwendo na kuanza kutafuta chanzo na usikione kuumbe lilisha Expire ivo ni vema kuchukua tahadhari.
Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo.
CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200
Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha Spidi,180.
Share na marafiki ili wawe salama na kwa ununuzi sahihi wa tairi la gari lako
 
Back
Top Bottom