Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Hutaki ujinga kabsa...Hii mada imejadiliwa kwa kina kwenye huu uzi, hapa chini, na hii post yako ni comment no.217 ( May 17, 2017) kwenye uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki ujinga kabsa...Hii mada imejadiliwa kwa kina kwenye huu uzi, hapa chini, na hii post yako ni comment no.217 ( May 17, 2017) kwenye uzi.
Kweli aisee niliisoma hii mada kipindi fulaniHii mada imejadiliwa kwa kina kwenye huu uzi, hapa chini, na hii post yako ni comment no.217 ( May 17, 2017) kwenye uzi.
ELIMU YA BURE YA GARI LAKO
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.
Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa.
Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE......hapo ndio inapotokea tairi mpya umenunua juzi kisha baada ya Wiki moja ya matumizi inapasuka puu ukiwa kwenye mwendo na kuanza kutafuta chanzo na usikione kuumbe lilisha Expire ivo ni vema kuchukua tahadhari.
Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo.
CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200
Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha Spidi,180.
Share na marafiki ili wawe salama na kwa ununuzi sahihi wa tairi la gari lako
#GLORY_BE_TO_GOD.
Mi za kwangu zimeandikwa P215/70R16 hapo sijaelewa wakuu
😱Hii mada imejadiliwa kwa kina kwenye huu uzi, hapa chini, na hii post yako ni comment no.217 ( May 17, 2017) kwenye uzi.