Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

ELIMU YA BURE YA GARI LAKO

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote...
asante kwa elimu! ingawa vingine pia umeacha! kuna durability pia! zingine zina waya zingine hazina
 
ELIMU YA BURE KWA WENYE MAGARI NA WASIO NA MAGARI KUHUSU USALAMA WAKO KATIKA TAIRI LA GARI UTAKALOPANDA PIA ITAKUSAIDIA KUTAMBUA UBORA WA TAIRI KABLA YA KULINUNUA.

Hata kama huna gari kwa sasa naamini katika moja ya ndoto zako ni kumiliki gari, Isomee hii itakusaidia wewe na ndugu zako kama sio na rafiki zako.

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge au yafungwe kwenye lolote).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi.

lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa.

Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO AU GARI UNALOTAKA KUPANDA USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE......hapo ndio inapotokea tairi mpya umenunua juzi kisha baada ya Wiki moja ya matumizi inapasuka puuuuu [emoji95][emoji95] ukiwa kwenye mwendo na kuanza kutafuta chanzo na usikione kuumbe lilisha Expire kitamboo......Chukua tahadhari rafiki yangu.

Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo.

CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200
Na codes nyinginezo fuatilia utajua speed zake.

Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha Spidi,180.
 
mbona mnashindana kurudia Mada hiyo hiyo ambayo tumeshaijadili humu sana.

Tairisisi tunatumia hadi miaka 8 na mpaka iishe kashata msiige mambo ya kigeni wao wanaspeed mpaka 200km/h
sisi Traffic kila 5 kilomita wapo wanataka utembee 50> km/h ninaishi Mkoka Kibaigwa Kongwa ni vumbi tupu hakuna lani sasa miaka minne nilitu kwa nani.

yaliyokuwa yakipasuka ni yale ya General Tyre miaka ya 80 hayakuwa na nyuzi
 
Yanapasuka mkuu ka yame expire mi nishapasukiwa na DUNLOP mara mbili
mbona mnashindana kurudia Mada hiyo hiyo ambayo tumeshaijadili humu sana
Tairisisi tunatumia hadi miaka 8 na mpaka iishe kashata msiige mambo ya kigeni wao wanaspeed mpaka 200km/h
sisi Tarffic kila 5 kilomita wapo wanataka utembee 50> km/h ninaishi Mkoka Kibaigwa Kongwa ni vumbi tupu hakuna lani sasa miaka minne nilitu kwa nani
yaliyokuwa yakipasuka ni yale ya General Tyre miaka ya 80 hayakuwa na nyuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa elimu hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yanapasuka mkuu ka yame expire mi nishapasukiwa na DUNLOP mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa hapa juzi kapasukiwa na Bridge stone kwenye Nissan x trail......Ile gari ni mpya sana hivyo jamaa hana uelewa wa mabo mengi...nikaangalia tarehw ya tari ilikuwa imetengenezwa wiki y 26 mwaka 1999...ilikuwa inasoma hivi *2699*
Jamaa alikuwa hajui hili wala lile ndiyo nikamuelewesha pale...basi akashukuru kwa kumpa elimu ile..
Kwa macho tairi lilikuwa linaonekana bado jipya sana ila limeexpire kitambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*ELIMU YA BURE YA GARI LAKO*

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu *(2603)* kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa.

Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka *1999.* KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE......hapo ndio inapotokea tairi mpya umenunua juzi kisha baada ya Wiki moja ya matumizi inapasuka puu ukiwa kwenye mwendo na kuanza kutafuta chanzo na usikione kuumbe lilisha Expire ivo ni vema kuchukua tahadhari.
1582279454981.png


Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo.

CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200

Huandikwa hivi
*280/R/70/13/560/S*
Hapo herufi S inawakilisha Spidi,180.

#senior Ikweta Konzo
 
TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
 
W
TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
Wapo wengi sana na wenyewe sio kwamba hawafaham wanafaham vizuri sana..sema kuna zile tairi za bei mteremko bila wengi wetu kujua why zinakuwa mteremko ndio huwa sababu ya mda wa kuexpire unakuwa umefika
 
Back
Top Bottom