mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)*280/R/70/13/560/S
Huo ni ugonjwa mkubwa sana. Ni yale makpuni makubwa tu tena nao no mara chache kukuta tairi ya mwaka huo.TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
Hapo kny S pakiwa R kirefu chake nini?280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)
R-Radial type construction
70-aspect ratio/Front Section/height of the tyre(kimo Cha tairi kutoka chini ya tairi hadi inapoanzia rimu.
13-Diameter of the rim(ukubwa wa rimu)
560-Load rating(Uzito wa mzigo utakaoweza kubebwa na hiyo tairi.
S-Spidi
Sijaona ulipofafanua wiki na mwaka uliotengenezwa280-tyre width(upana wa tairi sehemu linapokanyagia)
R-Radial type construction
70-aspect ratio/Front Section/height of the tyre(kimo Cha tairi kutoka chini ya tairi hadi inapoanzia rimu.
13-Diameter of the rim(ukubwa wa rimu)
560-Load rating(Uzito wa mzigo utakaoweza kubebwa na hiyo tairi.
S-Spidi
Tairi mpya zipo. Nimenunua mwaka huu na tairi ni za wiki ya 3, 2019. Ukiwa hujui suala la mwaka, utauziwa tairi mpya ila ya mwaka 2015 huko kwa bei poa na ukashangilia.TBS wapite kwenye warehouse za wauza matairi,ninauhakika jamaa watafilisiwa wote maana sijui kama wapo wanauza tairi mpya...
Ukirejea kwenye chart ya mtoa mada.Hapo kny S pakiwa R kirefu chake nini?
Hapo ya mwaka haipo,huwa inaandikwa sehemu nyingine tofauti na hapo.Sijaona ulipofafanua wiki na mwaka uliotengenezwa
Hiyo haina tofauti na niliyoelezea hapo juu.265/70R16.112S hii nayo ni vipi...?
mimi nimerejea kny ufafanuzi wako sio wa mtoa madaUkirejea kwenye chart ya mtoa mada.
R ni spidi 170
S ni spidi 180
Kwa hyo wewe ukufuatilia topic ilipoanzia ukarukia hiace kwa mbelemimi nimerejea kny ufafanuzi wako sio wa mtoa mada
Shukrani sana mkuu kwa elimu njema.*ELIMU YA BURE YA GARI LAKO*
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote...
Tairi F dashboad H ndani ya kitonga hadi raha