Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, si lazima VPN hapo. Kuna mifumo mingi siku hizi ya kumuwezesha mtu kuitumia system/ computer ya ofisini kwake akiwa nyumbani/ akiwa popote. Lakini umuhimu wa VPN unakuja pale ambapo mfumo huo unaruhusu kutumika kwenye location fulani tu na pia kulinda data.Elimu nzuri.
Nataka kujua, nimesikia wakati wa korona maofisi mengi yamefanyia kazi nyumbani na wameweza kuaccess system za ofisini kwao wakiwa nyumbani kwao na kuonekana kama wako ofisini ili kazi ziendelee. Je ni vpn ndio imefanya kazi hapa na pia ili vpn ifanye kazi kuna kifaa au software ya kutumia?
Hapana, si lazima VPN hapo. Kuna mifumo mingi siku hizi ya kumuwezesha mtu kuitumia system/ computer ya ofisini kwake akiwa nyumbani/ akiwa popote. Lakini umuhimu wa VPN unakuja pale ambapo mfumo huo unaruhusu kutumika kwenye location fulani tu na pia kulinda data.
Ili VPN ifanye kazi unachohitaji kikubwa ni internet tu. Zaidi ya hapo ni kufuata malekezo ya VPN provider unayemtumia juu ya namna ya ku-connect na kuchagua location. Wamerahisisha sana siku hizi kiasi ambacho huhitaji kuumiza kichwa kufanya vitu manual - sehemu kubwa vitu vinafanya kazi automatically; just click and go!
Elimu nzuri.
Nataka kujua, nimesikia wakati wa korona maofisi mengi yamefanyia kazi nyumbani na wameweza kuaccess system za ofisini kwao wakiwa nyumbani kwao na kuonekana kama wako ofisini ili kazi ziendelee. Je ni vpn ndio imefanya kazi hapa na pia ili vpn ifanye kazi kuna kifaa au software ya kutumia?
VPN INAPUNGUZA KASI YA NETWORK?Naambiwa ukitumia VPN network inakuwa slow sana. Limekaaje hili
Shukrani kwa kuniweka sawa mkuu. Umetisha.Mdau kauliza VPN kama VPN wewe umemjibu kuhide location and so so!!! Hizo ulizotaja ni App za VPN za kuhide location ila IT wa Kampuni husika wanatumia pia VPN(Sio Apps wanakupa Public IP na credentials) kuweza kuaccess system zao ili waweze kufanya kazi wakiwa home.
View attachment 1517009
*Si lazima kwa mpangilio huu.
- Windscribe: Nzuri kwa streaming lakini haiwezi ku-bypass Netflix.
- Hotspot Shield: Iko vizuri kwa kazi zingine isipokuwa streaming.
- ProtonVPN: Iko vizuri kwa kila kitu, lakini haisapoti torrenting.
- Hide.me: Nzuri lakini hai-support torrenting pia.
Nzuri ya kununua mm ktk simu ninayo moja ya kununua American ExpressVPN zipi ni best, ila ziwe free pia. Kwa android os
Asante. Wewe umenielewa vizuri swali langu. Kwa hiyo hizo credential na public ip pekee ndio zatakiwa? Kuset hizo Credential na hiyo public ip unaenda wapi ? Hii pic ulioweka ni app gani? Ya kwenye simu au pc?Mdau kauliza VPN kama VPN wewe umemjibu kuhide location and so so!!! Hizo ulizotaja ni App za VPN za kuhide location ila IT wa Kampuni husika wanatumia pia VPN(Sio Apps wanakupa Public IP na credentials) kuweza kuaccess system zao ili waweze kufanya kazi wakiwa home.
View attachment 1517009
Asante. Wewe umenielewa vizuri swali langu. Kwa hiyo hizo credential na public ip pekee ndio zatakiwa? Kuset hizo Credential na hiyo public ip unaenda wapi ? Hii pic ulioweka ni app gani? Ya kwenye simu au pc?
Shukrani sanaHiyo ni window app inaitwa cisco anyconnect(VPN connection zipo apps nyingi mostly used ni Anyconnect ya cisco) ,ukiifungua kwenye blank space unaweka hiyo Public IP kisha unaclick connect then inakuja sehemu ya kujaza hizo credentials ambazo unapewa na VPN provider(IT wa kampuni yako) then unaclick Ok fter that Unakuwa tayari connected na VPN ,ukishakuwa succesffully connected na VPN ina maana unakuwa upo kama kwenye Local Network yako(LAN) hapo kama wamekupa access the server zako unaweza uka RDP(Remote Desktop IP ya Server yako kisha ukaingia na kufanya kazi zako)!!
Note:Lazima uwe na internet ili kukuwezesha kuconnect VPN via Public IP.
Naitumia kwenye TV Box nina mambo yangu nacheck, sitaki ISP ajue shughuli zangu, naitumia kwenye PC , Tablet na simu to hide my locationUnaitumia vpn kukusaidia kufanya shughuli gani? Unaitumia ktk simu au pc? Bado sijajua kiundani vpn ktk simu inanisaidia kufanya nini..
Hii list bila Nord VPN & Express VPN ni batili! I'm sorry usinielewe vibaya...Binafsi natumia HOXX VPN. Kuipata unaingia tu Play Store - unatafuta hilo jina utaipata.
Lakini zipo zingine ambazo ni nzuri na ni free. *Haziwezi kuwa best kwasababu ni free, sadly. Gharama ya kuendesha VPN ni kubwa, so kama ni best halafu ni free basi utakutana na utitiri wa ads (matangazo) ambayo yatakuwa yanaku-disturb kila sekunde. Here's my short list though;
*Na si lazima kwa mpangilio huu.
1. Hide.me
2. Speedify
3. Windscribe VPN
4. TunnelBear VPN
5. ProtonVPN
6. Hotspot Shield VPN
Hizi nizakulipia ni nzuri sana nimewahi kutumia Express VPN ila sasa Niko ktk Thor ,OrbotNord na Express sio FREE. Mdau alitaka free VPNs... so hoja yako hai-apply hapa.