Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

Ahsante kwa receipe mpenzi nkikosa nazi nimepata mdogo wake maziwa 🙂 maana nazi nayo ina kazi kuitayarisha uikune,uichuje....kheri sie tunaotumia za makopo 🙂
Cc farkhina
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa receipe mpenzi nkikosa nazi nimepata mdogo wake maziwa 🙂 maana nazi nayo ina kazi kuitayarisha uikune,uichuje....kheri sie tunaotumia za makopo 🙂
Cc farkhina

Si uongo kitu cha box paleee wamiminia maji ya moto tu keisha habar yake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mrs Kharusy Asante sana ila nina swali, unga wa mchele au naweza Lowell mchele na ku-blend?

Mimi hununua uliotayari.... recipe zangu za kivivu lol ;-) ....nikiingia jikon nusu saa nataka nitoke na mlo utaoniridhi..
Ntakuekea pic ya huo unga niliotumia network ikikubali
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1401636218147.jpg
    1401636218147.jpg
    46 KB · Views: 217
Last edited by a moderator:
Mimi hununua uliotayari.... recipe zangu za kivivu lol ;-) ....nikiingia jikon nusu saa nataka nitoke na mlo utaoniridhi..
Ntakuekea pic ya huo unga niliotumia network ikikubali

Wavivu tupo wengi ngoja nisake huo ulio tayari dear
 
Niko nao unga wa mchele nlipika vileja vya mchele ukabaki ntatumia hii recipe hii ila nta minimize vipimo coz mahitaji yangu madogo....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom