Hahhahaha. ...welcome my dear!
Huku tulipo umejaa....ww upo maeneo gani
Niko Arusha my dia..
Huko sina hakika ila jaribu maduka ya wahindi labda..
Wapendwa..amani iwe juu yenu!!
I hope u have a great weekend.
Unga wa mchele glass 2 na nusu
Maziwa glass 2
Sukari vijiko 10 vya kulia
Iliki vijiko 2
Hamira vijiko 2
Yai 1
Jinsi ya kutayarisha
Changanya vitu vyote kwenye blender..
Saga kwa dkk 4-6
Mimina kwenye bakuli safi
Wacha viumuke na uchome.
Vitumbua tayari kwa kuliwa
Vimetoka vingi kweli.ni hizo hizo glass mbili tu?
Loh hadi minyoo yangu ikacheza tumboni
Chakarika kivyako vyako 🙂..Vitumbua vinaita.
Hapa dar kuna sehemu ukipita huku unakunywa maji ya chupa wanakuloga.