Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

Katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu tunashuhudia akina mama wakijiongezea vipato kwa kufanya biashara ya kuuza vitumbua katika vibaraza vya nyumba zao......sasa kinachonishangaza ni kwamba % kubwa ya wamama wachoma vitumbua huwa ni wanene sana, nishazunguka sana mjini kufanya utafiti nikabaini hilo.....sasa kuna anaeweza kuwa anaelewa sababu ya hawa wamama kuwa watu wa miraba minne?
 
Jaribu na wewe kuchoma ukinenepa utakua umepata jibu sahihi nini kimekunenepesha,sawa dada?
 
peleka jf doctor utapata majibu
 
Sidhani kama kuna direct connection kati ya kuchoma vitumbua na kunenepa!
Aidha kuchoma vitumbua ni kazi ya kivivu thus why vibonge wengi wanaiweza!

Cc: Dinazarde! Teh teh teh!
 
Wanachoma vitumbua wakati huohuo wanavila sana

Niliwauliza wawili watatu kama huwa wanakula vitumbua wakichoma wakaniambia ukimaliza kuchoma vitumbua huwezi kuwa na hamu ya kuvila...mafuta yanakinai sana
 
Sidhani kama kuna direct connection kati ya kuchoma vitumbua na kunenepa!
Aidha kuchoma vitumbua ni kazi ya kivivu thus why vibonge wengi wanaiweza!

Cc: Dinazarde! Teh teh teh!

Kidoooooooooooogoooo naweza nikakuelewa kwa hilo
 
ukimaliza kuvuta hiyo bangi nitakujibu coz huenda kwa ss unafikiri kwa kutumia masaburi!
 
ukimaliza kuvuta hiyo bangi nitakujibu coz huenda kwa ss unafikiri kwa kutumia masaburi!

mkuu una shida wewe si bure, mbona swali ni zuri tu na limekaa kiutafiti?

kwani ungejibu vizuri ungekatwa kikojoleo?
 
mkuu una shida wewe si bure, mbona swali ni zuri tu na limekaa kiutafiti?

kwani ungejibu vizuri ungekatwa kikojoleo?

ungemjibu basi ww mama kama jibu unalo
 
Naanza kuiona tabu ya kuuliza maswali humu.......maana kuna wengine wanakuja kujibu kabla hawajatawaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…