CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Sidhani kama kuna direct connection kati ya kuchoma vitumbua na kunenepa!
Aidha kuchoma vitumbua ni kazi ya kivivu thus why vibonge wengi wanaiweza!
Cc: Dinazarde! Teh teh teh!
I mean process mzima ya uandaaji na upikaji vitumbua ni simple sana!Hahaaaaa.... Ya kivivu kwani kuandaa mchele na kuuosha ni uvivu?
Search kuna thread za vitumbua kila aina humu
Jaan Si umention ile thread yako nzuri na easy kwa vile mchele umesagwa.....alafu kuna moja hiyo katika kusaga unachanganya na uji mwepesi wa sembe na wengine wanaweka unga kabisa wa sembe kama 1tablespoon tu
Jaan mi hata sikumbuki niliviweka kwa jina gani...sijui vitumbua vya maziwa nadhan.. lol ila akisearch vitumbua vitashuka vyoote vya nyama, michele etc
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] mate yamenidondoka babe
Hata mimi babe halafu nimeshangaa kumbe ni rahisi hivyo!! nilikua najua vitumbua ni kazi sana kupika,[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] mate yamenidondoka babe
Hata mimi babe halafu nimeshangaa kumbe ni rahisi hivyo!! nilikua najua vitumbua ni kazi sana kupika,
Nitajaribu soon.
Jamani babe, nikajua tutapika tukiwa wote unisaidie kuonja sukari na hiliki kama vimekoza.Ukijaribu usiache kunipa na mimi nionje[emoji39][emoji39]
Mimi mvivu kupika babe napenda kula vilivyopikwa[emoji85]Jamani babe, nikajua tutapika tukiwa wote unisaidie kuonja sukari na hiliki kama vimekoza.
Nenda kwenye jukwaa la mapishi mimi na Evelyn Salt tuliweka nyuzi kadhaa kule.Naomba anayejua namna ya kuchoma au kupika vitumbua anielekeze tafadhali
Wewe hautapika ila utaniangalia ninavyopika, napenda sana kupika ila sipendi kuosha vyombo, [emoji21][emoji21]Mimi mvivu kupika babe napenda kula vilivyopikwa[emoji85]