Fahamu kwa nini Ndugai hatakaukiwa na tabasamu njia nzima kwenda Bank

Mambo ya Afrika ni magumu.
Shenzi wanakula mema mpaka kufa kwao.
Macho yangu yanaona anasa tu kwa kwenda mbele.
Alafu kuna mpuz mmja humu anakwambia anataka akaandamane kwa ajili yake
Wakati jamaa hana alichopoteza,anakula mema mpaka mwisho wake ata enjoy maisha tu

We endelea kushangilia kwamba Ndugai kakomolewa
Siyo ndugai tu viongoz wote nchi hii wanakula
Pipi mpaka siku yao ya mwisho

Ova
 
Hili linajulikana,swala la msingi ni hana power tena, mengine ni kujifariji tuu.
 
Sawa lakini mwisho wa siku asingekuwa spika miaka yote! Amemwachia bunge afanye atakavyo! Ila Ndugai ataoata huduma zoe ndo jambo la msingi!
Huduma hizo zipo kisheria kwa Spika yoyote.

Kwani alikuwa anamzui kufanya nini? Mbona mwendazake alimuachia ndugaye afanye atakavyo?

Na sisi ndio tunataka hivyo tufanye tutakavyo,kaeni kimya mbona wenzenu tulikaa wakati mkila Nchi?

Huku ni kujifariji tuu.
 
Kwani shida ya ndugai ni pesa au madaraka/mamlaka?? Kwani Gwajima au Tarimba sio matajiri? Mbona wanagombea ubunge??

Very poor argument
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unadhani Ndugai bado ana hamu na hicho cheo ambacho mwisho wake ulikuwa 2025?
 
Ndo mana Mimi siwezi kuumiza kichwa/kiandamana kisa mwanasiasa, wao wanaishi vizuri lakini fala mmoja asiyejua atakula wapi unamkuta anapambana kwa ajili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…