Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Okay... ndio maana kwa speed ya mwanga alikimbilia ku-resign ili asije akakosa vyote; kusotea kazi 22 yrs halafu ukatoka patupu kama Lissu sio kila mtu anaweza. Ila hilo neno "ceasing", unless lina definition, Bunge halikuwa makini kulitumia.