Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

The blue whale has a vagina big enough to fit 6 grown men 😃
 
Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.
View attachment 3272885
Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5

Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania HASHEEM THABIT mwenye urefu wa futi 7.36 tu
View attachment 3272884
Korodani zake Zote zinaweza kufikia uzito wa kilogram 140 ambapo kila korodani ya nyangumi Dume Aliekomaa inaweza kufikia uzito wa kilogram 70.
Hee mbona hii mi kubwa kuliko.
 
Kuna mwanamke anayeweza kuhifadhi lita 20 za makamasi!?? 😃
Sio lazima amwagiwe ndani, kuna wngn wanapenda wakimwagiwa mwilini ht usoni pajae, anyway mwanamke anaweza kuwekewa lita 5
 
Kuna makala moja nilisoma, inasema kwamba mshipa wa damu wa nyangumi ni mkubwa kias kwamba, mtu mzima anaweza kuogelea.
 
Back
Top Bottom