Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

Kama wewe ni mmoja ya wasomi au wataalamu wanaotegemewa nchi hii ndio maana hatutaendelea kamwe.

Eti kuna mtu ataenda kuheshimika, kwa lipi? Kwa akili yako ndogo unadhani Tanzania tu ndio haikuweka lockdown? South Korea, Japan, Sweden hizo hawataheshimika ila least developed country ndio tutaheshimika?...

punguza ukilaza wew mbona anaeleweka mtoa mada, Tatizo chadema ni mjinga kweli kweli

hivi unajua lockdown kwa Tanzania wew
 
Kama wewe ni mmoja ya wasomi au wataalamu wanaotegemewa nchi hii ndio maana hatutaendelea kamwe.

Eti kuna mtu ataenda kuheshimika, kwa lipi? Kwa akili yako ndogo unadhani Tanzania tu ndio haikuweka lockdown? South Korea, Japan, Sweden hizo hawataheshimika ila least developed country ndio tutaheshimika?

Mbaya zaidi inawezekana kabisa una watoto na wanakutegemea kama mama yao wajifunze kutoka kwako.

Ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania kuliko hata magonjwa.
Kwani wapi nimesema South Korea na Japan wameweka
Lockdown?
 
Katika mlipuko wa ugonjwa lockdown haimaanishi kuwa ndyo mpaka ugonjwa uishe.

Pamoja na kupunguza kasi ya maambukizi , lockdown hutumika kama kipindi cha kustudy ugonjwa, kutafta dawa na mutafta mbinu mpya za kuweza kukabiliana nao.

Kuna magonjwa ya mlipuko tu kwa muda mfupi yanapita. Ila likionekana kuwa ni la muda mrefu ndyo zinabuniwa mbinu za kuweza kuishi nao.

Hebu assumu mashule yangekuwa hayajafungwa, ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mmoja ya wasomi au wataalamu wanaotegemewa nchi hii ndio maana hatutaendelea kamwe.

Eti kuna mtu ataenda kuheshimika, kwa lipi? Kwa akili yako ndogo unadhani Tanzania tu ndio haikuweka lockdown? South Korea, Japan, Sweden hizo hawataheshimika ila least developed country ndio tutaheshimika?

Mbaya zaidi inawezekana kabisa una watoto na wanakutegemea kama mama yao wajifunze kutoka kwako.

Ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania kuliko hata magonjwa.
Tutaheshimikaje wakaTI tumeficha data? Huyu jamaa punguani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown ni one extreme technique ya social distancing. Epidemiologically lockdown kama aina nyingine za social distancing inatumika kupunguza namba ya wanaoambukizwa na mtoa virusi (R iwe chini ya moja). Na lockdown huwa haitumiki peke yake huchanganywa na mikakati mingine.
Kitu kingine watu wengi hasa wanaopinga lockdown hapa tanzania haswa JF hupenda kupotosha au kufikiria kuwa kuna aina moja tu ya lockdown yaani total shutdown or total lockdown. Matokeo yake ni vigumu kuwa na rational discussion na watu kama hao.
 
Ww unaetaka lockdown ndio utakua wa kwanza kulalamika mshahara haujaingizwa, kumbuka serikali haitengenez pesa inategemea Kodi zetu cc wananchi hususan wafanya biashara ,ambao ili tupate pesa lazma tutoke,Sasa cjui umekula maharage ya wapi mpaka unashadadia lock down ngoja hako kamshahara kastop tutaona jeur yako

Nikuulize wewe Mkuu kama kuna mahali nimesema nataka lockdown-mimi nimeelezea nadharia ya lockdown ilivyo na uhusiano wake na social distancing. Ningefurahia watu kulijadili hili wakiwa na uelewa mpana wa hiyo dhana na inavyo ingiliana na livelihood za watu na resources tulizo nazo ili kuwa na maamuzi yenye tija. Hayo mengine ni yako wewe na sioni mantiki yake kwenye mchango wangu.
 
Katika mlipuko wa ugonjwa lockdown haimaanishi kuwa ndyo mpaka ugonjwa uishe.

Pamoja na kupunguza kasi ya maambukizi , lockdown hutumika kama kipindi cha kustudy ugonjwa, kutafta dawa na mutafta mbinu mpya za kuweza kukabiliana nao.

Kuna magonjwa ya mlipuko tu kwa muda mfupi yanapita. Ila likionekana kuwa ni la muda mrefu ndyo zinabuniwa mbinu za kuweza kuishi nao.

Hebu assumu mashule yangekuwa hayajafungwa, ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa shule hawana uwezo wa kujisimamia katika masuala ya social distancing, kunawa mikono na kuvaa barakoa tofauti na watu wazima, hivyo lazima shule zifungwe. Ila kwa watu wazima, kipindi ugonjwa umekuwa global tayari njia za kujikinga zilishafahamika na hadi sasa ndio hizo hizo hazijabadilika, sasa lockdown ina mantiki gani kama inaondolewa sasa wakati idadi ya wagonjwa ni kubwa kuliko iliyokuwepo wakati inawekwa, maana kila nchi ilikuwa na 0 cases awali, means kuna mgonjwa wa kwanza (patient 1) ndio amesababisha mlipuko katika kila nchi husika, sasa kama unaondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa 1 bado kabaki, hiyo lockdown ni useless maana tumeona kwamba ni mgonjwa mmoja tu ndie anahitajika kusababisha mlipuko mkubwa tena katika nchi husika, na je mtakaa tena lockdown over and over marangapi, hadi lini? Mantiki ya kuweka lockdown badala ya kuchukua tahadhari za social distancing na kujikinga ni ipi?!
 
Lockdown ni one extreme technique ya social distancing. Epidemiologically lockdown kama aina nyingine za social distancing inatumika kupunguza namba ya wanaoambukizwa na mtoa virusi (R iwe chini ya moja). Na lockdown huwa haitumiki peke yake huchanganywa na mikakati mingine.
Kitu kingine watu wengi hasa wanaopinga lockdown hapa tanzania haswa JF hupenda kupotosha au kufikiria kuwa kuna aina moja tu ya lockdown yaani total shutdown or total lockdown. Matokeo yake ni vigumu kuwa na rational discussion na watu kama hao.
Lockdown inayozungumziwa hapa obviously ni ‘total lockdown’, otherwise hata Tanzania tutakuwa tupo kwenye lockdown maana shule zimefungwa kwa wiki kadhaa sasa na kuna restrictions nyingi kwa mfano marufuku ya kukaa baa na migahawani badala yake mfuko wa take away umeagizwa, sijafahamu unajitoa akili kiasi hiki kwa faida ya nani hasa. Na pia hakuna aliebisha kwamba ‘Lockdown’ au ‘Total lockdown’ kama unavyopenda iitwe ni njia mojawapo ya social distancing
 
Kwa taatifa yako cases zinafuatiliwa historia. Alikutana na nani! Alimtembelea nani?

Hata tukifungulia tunajua Asha ni mgonjwa. .yeye abaki ndani kwa siku kadhaa. Nchi nyingi zilipata cases kwa wakati mmoja zikapanic.

Ila zilizokuwa na case zisizozidi 50.... ni rahisi saana. Hata waliopona tunawapa muda na kufuatilia nyendo zao maana hatujui kama virusi haviwezi kujirudia.
 
Kwa mantiki hiyo unakubali kwamba lockdown ina maana kama tu wagonjwa watabaki 0, maana hao wanaobaki kama wote wanakuwa identified na kuwekwa chini ya uangalizi, then the number of cases is as good as zero, maana hawataweza kuambukiwa wengine na number eventually itakuwa zero, then naona hapo tumeelewana. Ila mimi narudi kwenye uhalisia, kama hiki kirusi ni as contagious as tunaambiwa, its virtually impossible to get the number to 0 kwa total lockdown bila kuwa na chanjo au atleast dawa.
 
Lockdown inamaana tunapokuwa na wagonjwa. Si watu wanajifungia.

Ina maana walionao hawaambukizi tena waliowazima. Wale waliokwisha ambukizwa nao na dalili hazionekani inakuwa rahisi kuwapata kuliko kuwaacha wazunguke na waambukize wengine.

Lockdown inakata cycle ya virusi.
 
Lockdown inayozungumziwa hapa obviously ni ‘total lockdown’, otherwise hata Tanzania tutakuwa tupo kwenye lockdown maana shule zimefungwa kwa wiki kadhaa sasa na kuna restrictions nyingi kwa mfano marufuku ya kukaa baa na migahawani badala yake mfuko wa take away umeagizwa, sijafahamu unajitoa akili kiasi hiki kwa faida ya nani hasa.
Terminology matters. Kuna elements nyingine za lockdown ambazo hatujazitumia na zinaweza kufikiriwa kutumika bila kufikia total lockdown. Ukisha fikiria kuwa lockdown ni only total lockdown basi umeshajifunga kichwani. Sijaona issue ya kujitoa akili inatoka wapi.
 
Lockdown inamaana tunapokuwa na wagonjwa. Si watu wanajifungia.

Ina maana walionao hawaambukizi tena waliowazima. Wale waliokwisha ambukizwa nao na dalili hazionekani inakuwa rahisi kuwapata kuliko kuwaacha wazunguke na waambukize wengine.

Lockdown inakata cycle ya virusi.
Lockdown inaama kuwa na wagonjwa? Si watu wanajifungia? Duuh, atakae elewa anishtue
 
Terminology matters. Kuna elements nyingine za lockdown ambazo hatujazitumia na zinaweza kufikiriwa kutumika bila kufikia total lockdown. Ukisha fikiria kuwa lockdown ni only total lockdown basi umeshajifunga kichwani. Sijaona issue ya kujitoa akili inatoka wapi.
Nani kabisha kwamba kuna elements nyingi za lockdown hatujazitumia? Somo hoja iliyo kwenye uzi kabla ya kucomment. Tunasema kwamba Lockdown (au total lockdown kama unavyopenda) ina maana kama tu itawekwa hadi kufikia 0 patients(which is practically impossible), hayo mengine hakuna aliyebisha.
 
Back
Top Bottom