Nimesha elezea sababu kuu ya kuweka lockdown whether partial or total ni kupata reproductive number chini ya moja na sio kuwa na zero incidence. Na hicho ndio ulicho andika hapo juu. Ahsante.Nani kabisha kwamba kuna elements nyingi za lockdown hatujazitumia? Somo hoja iliyo kwenye uzi kabla ya kucomment. Tunasema kwamba Lockdown (au total lockdown kama unavyopenda) ina maana kama tu itawekwa hadi kufikia 0 patients(which is practically impossible), hayo mengine hakuna aliyebisha?
Atakae elewa ‘kupata reproductive number’ anishtueNimesha elezea sababu kuu ya kuweka lockdown whether partial or total ni kupata reproductive number chini ya moja na sio kuwa na zero incidence. Na hicho ndio ulicho andika hapo juu. Ahsante.
Mpaka leo wamekufa wangapi?
Siku hizi wamehamia kwenye sukari,baada ya kusikia mmarekani anaondoa lock downHahahaha, wapiga kampeni ya Lockdown wanagusa wanakimbia, hahahahah
Yaani ni aibu tu inawapataSiku hizi wamehamia kwenye sukari,baada ya kusikia mmarekani anaondoa lock down
Nakubaliana na wewe kwa kiwango flani,tatizo hapa kwetu hakuna seriousness inayotakiwa,hats swala la social distance haijatiliwa mkazo inavyostahili,ni business as usual.Unajua sasa hivi wanakufa wangapi? Maana idadi ya wagonjwa wakati wanatoa lockdown ni kubwa kuliko wakati wanaweka lockdown, sasa what is the logic? Kama idadi ya wanaokufa inashuka ni kwa sababu ya social distancing, kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka mikusanyiko
Watilie mkazo masuala ya social distancing, hasa Kariakoo, kunawa mikono, kuvaa barakoa na miwani piaNakubaliana na wewe kwa kiwango flani,tatizo hapa kwetu hakuna seriousness inayotakiwa,hats swala la social distance haijatiliwa mkazo inavyostahili,ni business as usual.
Hilo nyomi la kariakoo linatofauti gani na nyomi la maandamano ya ubaguzi wa rangi USA?Francis mimi tatizo alipo kwa huyo jamaa sijui YOYO hapana, nipo kwenye social distance hebu nipe feedback za nyomi la kariakoo au hapo kilombero sokoni arusha tutafua dafu kweli?
Acha huko angalia nyomi ya juzi wakati wa kwenda kumzika sheikh nani sijui huko Dar..!!
Hadi sasa ni nchi ngapi zinatoa daily corona updates?
Tunapiga hesabu ya siku 14 za ugonjwa kufumka, kupona au kufariki kwa aliyeambukizwa, sasa kwa sehemu tajwa hicho ndiyo kipimo.Hilo nyomi la kariakoo linatofauti gani na nyomi la maandamano ya ubaguzi wa rangi USA?
SoTunapiga hesabu ya siku 14 za ugonjwa kufumka, kupona au kufariki kwa aliyeambukizwa, sasa kwa sehemu tajwa hicho ndiyo kipimo.