Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Kijana tantarira kibao
Mnajificha kwenye kichaka cha iphone x ,XR na 11 plain

Hamia japo note 10 halafu uje uongee hapa tena

Video tu ndo naweza sema iphone inatoa vizuri ila picha😁😁
Sijui kukaa na charge

Halafu simu za android haziwezi kukaa kwenye value kubwa kwa sababu in a year zinatoka simu nyingi sana

Samsung mwenyewe ana A series na S series ana flip phone ana foldable phone lazima zishuke ili zipishe nyingine tofauti na bwana apple na matoleo yake machache kwa mwaka

Android ndo easy kutumia we unaongelea ukitoka lock screen unaenda moja kwa moja menu??

Android unadrag app unazozipenda home screen kabisa huhangaiki na makitu mengine wewe na unachotaka tu 😄

Sasa subirini features za android miaka 5 mbele mje kutupigia kelele tulia i sheep

You feel me😄
 
Sijawahi kupenda iphone maana nilishawahi kuletewa iphone 4 kama sijakosea miaka ya nyuma sana ...Nikauza nikanunua HTC .

Kwa kweli sijatokea kupenda hizo simu japo zipo vizuri sijui kwa nn yaani!?

Sehemu nafanyia kazi zipo kama yebo yebo yaani kila mtu anayo na nyingi ni iphone 13.... Honestly hizi trends za simu mpya niliachana nazo kitambo yaani maana hata huo mda kupiga picha sina sasa natumia pixel 3a.
 
Mimi ndio maana napenda simu za android especially Samsung kwa sababu kama hizi ulizozitaja,user friendly.
 
Kiufupi iphone ni simu zuri pia hizo nyingine nizuri pia kingine kila mtu atumie uwezo wake utakuta mtu ana pixel 3a anamponda mtu wa iphone 14 pro max eti pixel inapicha kali ipo vizuri iphone ni simu zakike sijui wanaopenda kutumia iphone wanafake mara hazikai na chaji ivi unajua sasahivi iphone inakaa na chaji kuliko flagship yoyote maisha acheni wivu tafuteni pesa ili nanyie mtumie ata pixel 7 au 6 sio unatumia pixel 3 / 4 unaiponda iphone 12/13/14/15 sio sawa wewe iponde iphone x/xr kushuka chini acheni dharau kila mtu anatumia anachokipenda watumiaji wengi wa iphone wametoka android bongo watu wengi wamevamia iphone mwaka 2015 kama sijakosea ilipotoka iphone 4 ila huko nyuma wengi tulikuwa na android so jaribu kununua samsung s23 au pixel 7 ndouiponde iphone 14 pro max
 
Anaesema aifoni haikai na chaji muulize anatumia ipi, usikute ana 6&8 anategemea nini?

Mchele una mapishi mbalimbali
 
I'm not expert kwenye maswala ya simu but Ofisini kwetu wengi wana hizo iPhone 12 na 13 naona wanahangaika sana suala la charge kila wakati wanatembeq na charger,huku mie na ka samsung kangu haka ka A54 charge inadumu siku nzima.
Toa iphone 13 hapo.. inatunza chaji
 
Hiyo ni bongo land, kwa wenzetu haya hayapo
 
Nimeanza kutumia android 4.4 kitkat hadi sasa nipo enzi ya android 13 tunaitafuta 14. Sijawahi kusumbuliwa na issue yoyote ya security na ukizingatia mimi ni muumini wa cracked app softwares.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…