Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Kijana tantarira kibao
Mnajificha kwenye kichaka cha iphone x ,XR na 11 plain
Hamia japo note 10 halafu uje uongee hapa tena
Video tu ndo naweza sema iphone inatoa vizuri ila picha😁😁
Sijui kukaa na charge
Halafu simu za android haziwezi kukaa kwenye value kubwa kwa sababu in a year zinatoka simu nyingi sana
Samsung mwenyewe ana A series na S series ana flip phone ana foldable phone lazima zishuke ili zipishe nyingine tofauti na bwana apple na matoleo yake machache kwa mwaka
Android ndo easy kutumia we unaongelea ukitoka lock screen unaenda moja kwa moja menu??
Android unadrag app unazozipenda home screen kabisa huhangaiki na makitu mengine wewe na unachotaka tu 😄
Sasa subirini features za android miaka 5 mbele mje kutupigia kelele tulia i sheep
You feel me😄