Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Kijana tantarira kibao
Mnajificha kwenye kichaka cha iphone x ,XR na 11 plain

Hamia japo note 10 halafu uje uongee hapa tena

Video tu ndo naweza sema iphone inatoa vizuri ila picha😁😁
Sijui kukaa na charge

Halafu simu za android haziwezi kukaa kwenye value kubwa kwa sababu in a year zinatoka simu nyingi sana

Samsung mwenyewe ana A series na S series ana flip phone ana foldable phone lazima zishuke ili zipishe nyingine tofauti na bwana apple na matoleo yake machache kwa mwaka

Android ndo easy kutumia we unaongelea ukitoka lock screen unaenda moja kwa moja menu??

Android unadrag app unazozipenda home screen kabisa huhangaiki na makitu mengine wewe na unachotaka tu 😄

Sasa subirini features za android miaka 5 mbele mje kutupigia kelele tulia i sheep

You feel me😄
 
Sijawahi kupenda iphone maana nilishawahi kuletewa iphone 4 kama sijakosea miaka ya nyuma sana ...Nikauza nikanunua HTC .

Kwa kweli sijatokea kupenda hizo simu japo zipo vizuri sijui kwa nn yaani!?

Sehemu nafanyia kazi zipo kama yebo yebo yaani kila mtu anayo na nyingi ni iphone 13.... Honestly hizi trends za simu mpya niliachana nazo kitambo yaani maana hata huo mda kupiga picha sina sasa natumia pixel 3a.
 
Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special!!.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto..[emoji23]

Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email..
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!..
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.

Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe..

Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!.


Umekaa kizembe sana babu..[emoji28]
Mimi ndio maana napenda simu za android especially Samsung kwa sababu kama hizi ulizozitaja,user friendly.
 
Kiufupi iphone ni simu zuri pia hizo nyingine nizuri pia kingine kila mtu atumie uwezo wake utakuta mtu ana pixel 3a anamponda mtu wa iphone 14 pro max eti pixel inapicha kali ipo vizuri iphone ni simu zakike sijui wanaopenda kutumia iphone wanafake mara hazikai na chaji ivi unajua sasahivi iphone inakaa na chaji kuliko flagship yoyote maisha acheni wivu tafuteni pesa ili nanyie mtumie ata pixel 7 au 6 sio unatumia pixel 3 / 4 unaiponda iphone 12/13/14/15 sio sawa wewe iponde iphone x/xr kushuka chini acheni dharau kila mtu anatumia anachokipenda watumiaji wengi wa iphone wametoka android bongo watu wengi wamevamia iphone mwaka 2015 kama sijakosea ilipotoka iphone 4 ila huko nyuma wengi tulikuwa na android so jaribu kununua samsung s23 au pixel 7 ndouiponde iphone 14 pro max
 
Kiufupi iphone ni simu zuri pia hizo nyingine nizuri pia kingine kila mtu atumie uwezo wake utakuta mtu ana pixel 3a anamponda mtu wa iphone 14 pro max eti pixel inapicha kali ipo vizuri iphone ni simu zakike sijui wanaopenda kutumia iphone wanafake mara hazikai na chaji ivi unajua sasahivi iphone inakaa na chaji kuliko flagship yoyote maisha acheni wivu tafuteni pesa ili nanyie mtumie ata pixel 7 au 6 sio unatumia pixel 3 / 4 unaiponda iphone 12/13/14/15 sio sawa wewe iponde iphone x/xr kushuka chini acheni dharau kila mtu anatumia anachokipenda watumiaji wengi wa iphone wametoka android bongo watu wengi wamevamia iphone mwaka 2015 kama sijakosea ilipotoka iphone 4 ila huko nyuma wengi tulikuwa na android so jaribu kununua samsung s23 au pixel 7 ndouiponde iphone 14 pro max
Anaesema aifoni haikai na chaji muulize anatumia ipi, usikute ana 6&8 anategemea nini?

Mchele una mapishi mbalimbali
 
I'm not expert kwenye maswala ya simu but Ofisini kwetu wengi wana hizo iPhone 12 na 13 naona wanahangaika sana suala la charge kila wakati wanatembeq na charger,huku mie na ka samsung kangu haka ka A54 charge inadumu siku nzima.
Toa iphone 13 hapo.. inatunza chaji
 
Tatizo la iPhone zimekaa kikike sana, Yaani visimu fulani ambavyo ukiwa navyo kila mtu ana uwezo kukujua ulivyo undani wako, Asilimia kubwa ya iPhone users wa hapa bongo ni watu ambao wana tamaa tamaa fulani za vitu vizuri vizuri ndo maana nikasema ni devices ambazo zimekaa kikike kwa sababu jinsia ya kike ndo watu wenye tabia za kupenda kupata vitu vizuri kwa njia nyepesi,

Kingine inamuelezea mtu kwamba anapenda attention ambayo pia ni tabia ya kike, Kupenda attention akiwa au akipita mahali... Kiufupi haina tofauti na unakuta pisi kali imevaa vizuri... imependeza kwelikweli na ukiiangalia huwezi kuamini kwamba ina Ghono, Ndo kama alivyo mwenye iphone, Unakuta mtu ana simu ya thamani ya 3m ila huwezi kujua kama hana hela ya kula.

Kingine wanakuwa watu wa kupenda mashindano, yaani akiwa na iphone 7 maybe akimuona mwenzake ana 11 automatic tuu unamuona anatamani yeye ndo angekuwa na hiyo 11

Hilo suala nalisema kutokana na experience yangu na wahusika ninaokutana nao ila ni simu nzuri sema tu zinapendwa na kumilikiwa zaidi na wasio sahihi
Hiyo ni bongo land, kwa wenzetu haya hayapo
 
Nimeanza kutumia android 4.4 kitkat hadi sasa nipo enzi ya android 13 tunaitafuta 14. Sijawahi kusumbuliwa na issue yoyote ya security na ukizingatia mimi ni muumini wa cracked app softwares.
 
Back
Top Bottom