Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Sasa Kama ameweza kutoa lock ya iPhone 15 pro max na isifanye kazi upande wa network uwe unatumia WI-FI huyo sio mtaalamu ni uharibifu tu
Tunaposema mtaalamu atoe security iliyokuwa mwanzo na bado simu ifanye kazi Kama kawaida kabisa hapo Ndio gwiji
 
Durability iPhone ni ngumu sana juzi niliidondosha nikiwa kwenye boda boda kuiokota ipo vile vile mdundo...
 
First year wa UDSM akijaribu kutugirini wajanja wa mjini
 
Halafu hii kweli kabisa nakubaliana nawe
 
“Wapo hackers wazuri”
Shida hapa bado hujaelesea wanafanyaje, wanatumia mbinu gani?
Umeelezea wapo tu then what?
 
Hahaha natumia simu zote( both ios and android) and kila simu ina advantage na disadvantage yake. First of all hakuna simu yenye muonekano wa kike hizo ni falacy thinking.

You have to understand kila mtu anaponunua simu kuna kitu anakitafuta, binafsi why nili purchase iphone wkt nina android kali, nilikuwa na professional reason zangu, lakin moja ya sababu si kujionyesha au ku seek anntettion kama ulivyoandika
 
Iphone ujinga mwingi sana,Security ya nini km sio kuendekeza umaskini tu.
Ikiibiwa si unanunua ingine.
Ni simu ya hovyo sijawai kuona.
Nilitumia Iphone 2 nikaishia kugawa.
 
Currently wenye iphone 13 na kuendelea ndio wanafaidi ios.
Unasema subiri features za android next 5 years, well apple pia si kwamba watakuwa wamelala for those five years.

Ushindani ni mkubwa kwa manufactures wa hizi brands na hakuna simu bora kuliko mwenzake kwa 100%

It up to users
 
Nenda dark web acha kukaza fuvu..

Hahaha nimecheka sana kumbe mwenyewe hujui how mpaka uka google.
Ios si completely hackers proof, but advantage ni kuwa sio easy to hack. Every incident ya hacking apple huwa wanatoa patch ya kuziba hiyo weakness instantly
Can android keep up?
 
😂 Yani hilo ni swala la ku google dah! Mkuu unaniaibisha! Mi sijagoogle ndugu na nazidi kukwambia acha kukaza fuvu
 
[emoji23] Yani hilo ni swala la ku google dah! Mkuu unaniaibisha! Mi sijagoogle ndugu na nazidi kukwambia acha kukaza fuvu

14 pro max na 15 pro max ku hack ni ngumu sana kiufupi tu ili uweze kuhack inabidi ununue software / code za ma million usd so sio rahisi hivi ndugu ila hizi x / xr / 11 zote zinawezekana
 
14 pro max na 15 pro max ku hack ni ngumu sana kiufupi tu ili uweze kuhack inabidi ununue software / code za ma million usd so sio rahisi hivi ndugu ila hizi x / xr / 11 zote zinawezekana
Yule mwamba kakaza fuvu...😂
 
14 pro max na 15 pro max ku hack ni ngumu sana kiufupi tu ili uweze kuhack inabidi ununue software / code za ma million usd so sio rahisi hivi ndugu ila hizi x / xr / 11 zote zinawezekana

Elezea jinsi gani ni rahisi kuhack s23 yenye android 14.

Hivi unajua kwanini security patch zinatoka kila mwezi kwa ios kama iko secured kama unavyodhani??

Kuhack sio kama kuimba kiitikio.
 
Elezea jinsi gani ni rahisi kuhack s23 yenye android 14.

Hivi unajua kwanini security patch zinatoka kila mwezi kwa ios kama iko secured kama unavyodhani??

Kuhack sio kama kuimba kiitikio.

Kwenye android ni oneplus pekee ndo ngumu kutoa oneplus id ila samsung id au other android ni rahisi sana broo
 
Rekebisha zinamilikiwa na wanaume ila zinatumiwa na wanawake wenye zero security kwenye marinda yao
 
Watanzania wengi wana shida ya akili, especially watumiaji wa Iphone, akili zao ni fupi fupi na ni wajinga vibaya mno.

Sio wote.. baadhi.
 
Kwenye android ni oneplus pekee ndo ngumu kutoa oneplus id ila samsung id au other android ni rahisi sana broo
ni rahisi sana[emoji2][emoji2][emoji2].

unaweza kuchomoa lock ya A51 samsung na uka update bila shida??
 
Watanzania wengi wana shida ya akili, especially watumiaji wa Iphone, akili zao ni fupi fupi na ni wajinga vibaya mno.

Sio wote.. baadhi.

Hakuna reasearch imefanyika ikaonyesha kuwa watumiaj wa iphone hawana akili.
Iphone ni brand ya simu ya brand zingine, kila mtu ana nunua anachokipenda

Sion reasons ya kumchukia mtu anae amua kuchukua iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…