High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Kiufupi hata wewe unajua ukisahau email / password android yako kuifungua ni rahisi sana tena ukiipeleka kwawale mafundi ikizidi sana 25000 tu japo kuna android nyingine ningumu kuzitoa password kama oneplus kama sijakosea ila ukipewa leo 13 pro max uitoe apple id lazima uandae pesa (300000/500000)ya maana nazoezi linaweza lisiwezekane au likawezekana ila simu isishike network mazima
Sasa Kama ameweza kutoa lock ya iPhone 15 pro max na isifanye kazi upande wa network uwe unatumia WI-FI huyo sio mtaalamu ni uharibifu tu
Tunaposema mtaalamu atoe security iliyokuwa mwanzo na bado simu ifanye kazi Kama kawaida kabisa hapo Ndio gwiji