MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,763
- 22,998
Hiyo mitihani imeletwa na nani? ili Allah asisumbuke sana na sisi si bora asingetuumba kabisa, asingepungukiwa na kituMkuu,Allah ameumba watu kwa hikima na kwa makusudi ya kuwapa uhuru wa kuchagua. Dunia hii ni mahali pa mtihani, na kila mmoja anapewa nafasi ya kuchagua imani na matendo yake. Allah ameumba watu na mitihani ya maisha, ikiwa ni pamoja na matamanio, na ndiyo maana Jihad ya nafsi inahitajika ili kupambana na yale matamanio mabaya.
Kama Allah angeumba watu wote kuwa Waislamu safi na bila matamanio mabaya, kusingekuwepo na mtihani, na kusingekuwepo na tofauti za matendo. Hivyo, kila mtu angepimwa kwa matendo yake na imani yake, na maisha haya yangekosa maana. Kila mtu anapewa nafasi ya kujifunza na kuchagua, na elimu ya dini ni jukumu letu sisi wenyewe kutafuta. Vinginevyo, kama kila mtu angezaliwa na elimu ya dini kichwani, ingekuwa kama kufuata programu isiyo na uhuru.
Kwa hiyo, dunia hii ni nafasi ya kujifunza, kufanya makosa, na kurekebisha. Hii ndiyo maana Allah amewaambia Waislamu kutafuta elimu na kufanya juhudi ili kuwa na maisha bora, kwa sababu ya mtihani wa dunia hii.
Sasa wewe mkuu ulikuwa unashauri waumini wa huo msikiti wawatoe hao wanaouza miili yao kwa nguvu?Ninachojua waislam wa kiafrika ni waoga sana kwakuwa tumeletewa dini ni kama haituhusu basi masheikh wanaleta tafsiri ndeefu kuhusu jihad
Nenda temeke kuna msikiti wanaswali watu ndani ubavuni mwa msikiti Malaya Wana vivyumba wanauza na kufanya uchavu nje ya msikiti ukiwauliza watasema jihad nafsi wahuwa jihadul Akbar
Iman imegawanyika katika sehemu tatu;
Iman ya vitendo
Iman ya maneno
Iman ya kuzuia ulimi au kunyamaza(nafsi)
Hiyo ya kunyamaza ndio dhaifu kuliko zote
Kwa hiyo akijichanganya kafir akaiba viatu nsikitini ataondoka salama salimini?nipe codes kesho nisogee pale masjid idrisa nifanye yangu maana sikukuu zinakaribia na mfukoni hola sielewiMwezi mtukufu ni mwezi wa amani
Mitihani imetokana na hikima ya Allah ambaye ameumba kila kitu kwa makusudi. Allah hakupungukiwa na kitu wala hakulazimika kutuumba kwa sababu ya kitu chochote, lakini alifanya hivyo kwa mapenzi Yake. Dunia ni mahali pa mtihani ambapo kila mmoja anapewa nafasi ya kuchagua imani na kufanya matendo yake. Allah anapima imani zetu kwa majaribu na changamoto, ili tuweze kujifunza na kujiboresha. Mitihani si kwa sababu Allah ana uhitaji wa kitu fulani, bali ni sehemu ya mpango Wake mkubwa na huruma Kwetu. Hii inatufanya tuwe na nafasi ya kujua ni wapi tunasimama katika imani yetu.Hiyo mitihani imeletwa na nani? ili Allah asisumbuke sana na sisi si bora asingetuumba kabisa, asingepungukiwa na kitu
I like your religion, but I dislike it's people. Nahisi kuna shida mahali, sijui ufundishwaji wake haupo sawa, au wakufunzi wanawasilisha maandiko kwa mihemuko ndo maana hupandikiza chuki. Through your teachings mmeharibu kizazi kikubwa sana.Jihadi ina maana ya kujitahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu. Aina zake ni:
1. Jihadi dhidi ya nafsi: Kupambana na matamanio mabaya.
2. Jihadi ya elimu: Kujifunza na kufundisha Uislamu.
3. Jihadi ya mali: Kutoa mali kusaidia dini na wanyonge.
4. Jihadi ya kauli: Kusema haki mbele ya dhalimu.
5. Jihadi ya mapambano: Kulinda Waislamu dhidi ya dhulma kwa masharti maalum.
Uislamu ni dini ya amani na haikufundisha chuki au ubaguzi. Uislamu unasisitiza umuhimu wa kuelewa na kufuata mafundisho sahihi ya dini, na wala siyo kueneza chuki au kuvuruga amani. Uislamu unasisitiza sana elimu, kama alivyosema Mtume ﷺ: "Kutafuta elimu ni faradhi kwa kila Muislamu." Hivyo, jamii ya Kiislamu inapaswa kujitahidi katika kupata elimu bora na kuishi kwa amani na heshima kwa watu wa dini zote. Misimamo ya 'conquering the world' ni tafsiri potofu, kwa kuwa Uislamu unahimiza uhuru wa kuamini na usawa.I like your religion, but I dislike it's people. Nahisi kuna shida mahali, sijui ufundishwaji wake haupo sawa, au wakufunzi wanawasilisha maandiko kwa mihemuko ndo maana hupandikiza chuki. Through your teachings mmeharibu kizazi kikubwa sana.
Jamii zenu (especially masikini) wapo extremist kiasi kwamba hata elimu ya duniani wengi wao hawana kabisa, ndo maana unakuta kwenye shule zinazomilikiwa na wakristo, wanafunzi waislamu ni wengi, ila shule za kiislam nadra sana kukuta wanafunzi wa kikristo (obvious quality ya elimu kwenye shule zenu ni mbovu)
Kuifanya dini yenu ndo best kuliko zingine na vision ya conquering the world, hii ndo inaleta unfinished wars,
After all dunia ingekuwa sehemu salama bila uwepo wa hizi dini.
Ipo kama ilivyo.UMESEMA MAKUNDI HAYO UNAYAFAHAMU MTOA POST ULIWAHI KUIONA BENDERA YA "ISIS"
INA MAANDISHI YAMEANDIKWA KWA KIARABU YAKIWA NA MAANA "There is no GOD but Allah" yaani "hakuna MUNGU bali allah" HII INA MAANA GANI?
JE haya maneno yapo kwenye quran ama hayapo ?Uislamu ni dini ya amani na haikufundisha chuki au ubaguzi. Uislamu unasisitiza umuhimu wa kuelewa na kufuata mafundisho sahihi ya dini, na wala siyo kueneza chuki au kuvuruga amani. Uislamu unasisitiza sana elimu, kama alivyosema Mtume ﷺ: "Kutafuta elimu ni faradhi kwa kila Muislamu." Hivyo, jamii ya Kiislamu inapaswa kujitahidi katika kupata elimu bora na kuishi kwa amani na heshima kwa watu wa dini zote. Misimamo ya 'conquering the world' ni tafsiri potofu, kwa kuwa Uislamu unahimiza uhuru wa kuamini na usawa.
Sasa hivi ukienda Nchi kama Saudia, Iran, Nchi za North Africa etc education yao ni top notch, hapa Tanzania madaktari wengi wamesoma Algeria, iwe vp Nchi nyengine za Africa za Waisilamu elimu yao ipo juu kwetu Tanzania isiwe juu?I like your religion, but I dislike it's people. Nahisi kuna shida mahali, sijui ufundishwaji wake haupo sawa, au wakufunzi wanawasilisha maandiko kwa mihemuko ndo maana hupandikiza chuki. Through your teachings mmeharibu kizazi kikubwa sana.
Jamii zenu (especially masikini) wapo extremist kiasi kwamba hata elimu ya duniani wengi wao hawana kabisa, ndo maana unakuta kwenye shule zinazomilikiwa na wakristo, wanafunzi waislamu ni wengi, ila shule za kiislam nadra sana kukuta wanafunzi wa kikristo (obvious quality ya elimu kwenye shule zenu ni mbovu)
Kuifanya dini yenu ndo best kuliko zingine na vision ya conquering the world, hii ndo inaleta unfinished wars,
After all dunia ingekuwa sehemu salama bila uwepo wa hizi dini.
Aya hii inazuia na kukataza urafiki wa ndani au wa karibu lakini haihamasishi chuki dhidi yao.
Aya hii inazuia na kukataza urafiki wa ndani au wa karibu lakini haihamasishi chuki dhidi yao.
View attachment 3281268
"Musa bin Jafar alieleza kuwa Mtume ﷺ alifundisha: 'Msaidieni wale wasiokuwa Waislamu, kama wanahitaji msaada wakiwa na shida, na kutendewa wema kwao, kwa sababu katika wao kuna watu wanaotafuta haki na utulivu.'"
(Al-Bukhari, Hadithi namba 6130)
Sasa mkuu si nimeshakujibu.Umeleta logical fallacy kwa kubadili mstari, kitabu pamoja na lugha ili kutuchanganya.
Mimi nimetaja aya ya quran kutoka Sura al maidah ,yenye tafsiri ya kiswahili kabisa wewe umejibu kwa kutaja hadith za sahih bukhari. Na kuleta aya zenye tafsiri ya kiingereza badala ya kiswahili kama mimi.
Hiyo ni janja janja unaleta.
Usikimbie hoja, bali jibu swali langu kama hii aya inayokataza waislam kuwa na urafiki na wakristo kama ipo kweli kwenye quran ama haipo ?
View attachment 3281271
Basi kumbe Al Shabab na wengine wanatumia vizuri kifungu hiki, na ruhusa ya kuzichapa imetolewa5. Jihad ya Mapambano (Qitaal) – Kulinda Waislamu dhidi ya dhulma, kwa masharti maalum.
“Ruhusa (ya kupigana) imetolewa kwa wale wanaopigwa vita kwa sababu wameonewa.” (Qur’an 22:39)
Kuna Aya zikishuka kutoka na mukhtadha wa hali husika japo hukumu ni General.Umeleta logical fallacy kwa kubadili mstari, kitabu pamoja na lugha ili kutuchanganya.
Mimi nimetaja aya ya quran kutoka Sura al maidah ,yenye tafsiri ya kiswahili kabisa wewe umejibu kwa kutaja hadith za sahih bukhari. Na kuleta aya zenye tafsiri ya kiingereza badala ya kiswahili kama mimi.
Hiyo ni janja janja unaleta.
Usikimbie hoja, bali jibu swali langu kama hii aya inayokataza waislam kuwa na urafiki na wakristo kama ipo kweli kwenye quran ama haipo ?
View attachment 3281271
Al-Shabaab inatolewa katika Jihadi na wanazuoni kwa kuwa,imejihusisha na mashambulizi yanayolenga raia, kinyume na mafundisho ya Kiislamu yanayokataza kuua wasio na hatia.Pia,Al-Shabaab na makundi mengine kama hilo yanapinga serikali halali za Kiislamu kinyume na mafundisho ya Uislamu yanayotilia mkazo umuhimu wa utiifu kwa viongozi wa Kiislamu wenye mamlaka.Pia,mbinu za Al-Shabaab na makundimenginekama hilo, kama vile mashambulizi ya kujitoa mhanga na utekaji nyara, zinapingana na kanuni za Kiislamu za vita vya haki na zinachukuliwa kuwa ni ugaidi badala ya Jihad halisi.Basi kumbe Al Shabab na wengine wanatumia vizuri kifungu hiki, na ruhusa ya kuzichapa imetolewa
Dini ni Elimu , yaani kufanya kitu kwa misingi ya Elimu jinsi mafundisho sahihi yanavyosema na si kufuta matamanio ya nafsi.Kwa hiyo wewe unaijua dini kuliko Osama aliyejenga msikiti wa Makkah kwa mikono yake mwenyewe?
Hamas Kuna baadhi ya mambo wanayofanya wanatoka katika misingi ya Jihad.Kwa mtazamo wako wewe unaonaje na kwa ulivyosoma maana ya jihad
Amefanya Dunia kuwa sehemu ya mitihani ya kheri na Shari na ametoa muongozo kwa anayetaka haki na kuongoka aufuate.Hivi kwanini mungu au allah asingeumba:
Nadhani kwa kufanya hayo kusingekuwepo na hii mikanganyiko, ila inashangaza sana yeye ametulia tu huku watu wanaendelea kutoana roho.
- Watu wote waislamu safi
- Aondoe matamanio kwa kila mtu
- amjalie mali kila mtu kuwiswepo na wanaohitaji misaada kutoka kwa wengine
- Aumbe kila binadamu na default setting za kusema ukweli na haki
- By default kila mtu azaliwe na elimu ya dini ya kiislamu kichwani
Takbiri
Yeye haojiwi anafanya alitakalo , Kuna baadhi ya mambo ni ya siri akili yetu haiwezi kuelewa sawasawa hata tukielezwa sawasawa Leo mtoto wa chekechea umpe mahesabu ya vyuoni Engineering hatoweza kuelewa chochote. Elimu ya Allaah ni panya zaidi ya bahari zote halafu akili yetu ni kikombe haiwezi kujaza bahari.Hiyo mitihani imeletwa na nani? ili Allah asisumbuke sana na sisi si bora asingetuumba kabisa, asingepungukiwa na kitu