Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

Sasa wewe mkuu ulikuwa unashauri waumini wa huo msikiti wawatoe hao wanaouza miili yao kwa nguvu?
Nilipokuwa advance nilisoma kitabu kinaitwa A man of the people katika hicho kitabu kuna khabari za mdudu anaitwa chichidodo sifa yake kubwa ni kujiona msafi haliyakuwa anakaa sehemu chafu the likes masheikh wetu wa siku hizi
 
Jihadi ina maana ya kujitahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu. Aina zake ni:

1. Jihadi dhidi ya nafsi: Kupambana na matamanio mabaya.


2. Jihadi ya elimu: Kujifunza na kufundisha Uislamu.


3. Jihadi ya mali: Kutoa mali kusaidia dini na wanyonge.


4. Jihadi ya kauli: Kusema haki mbele ya dhalimu.


5. Jihadi ya mapambano: Kulinda Waislamu dhidi ya dhulma kwa masharti maalum.
Wapo Mujahidina watapinga.
 
Umeleta logical fallacy kwa kubadili mstari, kitabu pamoja na lugha ili kutuchanganya.

Mimi nimetaja aya ya quran kutoka Sura al maidah ,yenye tafsiri ya kiswahili kabisa wewe umejibu kwa kutaja hadith za sahih bukhari. Na kuleta aya zenye tafsiri ya kiingereza badala ya kiswahili kama mimi.

Hiyo ni janja janja unaleta.


Usikimbie hoja, bali jibu swali langu kama hii aya inayokataza waislam kuwa na urafiki na wakristo kama ipo kweli kwenye quran ama haipo ?


View attachment 3281271
Amejibu sahihi labda hujamuelewa huwezi kusoma aya moja tu ya Qur'an ikatoshea kutoa ufafanuzi bali ufafanuzi huweza kutolewa na aya nyingine au hadithi

Tafsiri ya kiswahili ni hii
 

Attachments

  • Screenshot_20250324-072300.png
    Screenshot_20250324-072300.png
    101.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250324-072325.png
    Screenshot_20250324-072325.png
    111.8 KB · Views: 22
Hamas Kuna baadhi ya mambo wanayofanya wanatoka katika misingi ya Jihad.

Kabla ya Jihad watu wanatakiwa wasomeshww kwanza dini wawe katika itikadi ya sawa na kutambua unacho kupambania.

Kingine lazima uhakikishe una nguvu ya kufanya hivyo yaani uwe na maandalizi ya kutosha Kwenye jambo unaloliendea kuanzia watu , vifaa , teknolojia nk.

Lingine upime uwezo wako na adui kama utaweza kupambana kikamilifu yaani uwezo wako unaweza kumatch na WA adui , maana mtu asipozingatia Hilo madhara yake ni makubwa mno kuliko ambayo ungeyapata kwa Kukubali kuonewa huku ukifanya Subra na kujipanga.

Tatu Hamas wanafanya ujinga wa kuteka Raia , watoto na wengine ambao sio wahusika jambo ambalo halifai kisheria .

Mimi binafsi sisapoti njia wanayotumia Hamas na baadhi ya matendo Yao lakini wanayo haki na sababu ya kupambania uhuru na haki zao ila walipaswa kufuata misingi ya Uislamu katika hilo
Umeongea vizuri na unaeleweka pia changamoto kubwa ya Vita za sasa hazifuati sheria tofauti na enzi za maswahaba endapo sehemu maalum ya kupigana hutengwa ili kuondoa madhara kwa raia

Pia dhana za mapigano zimebadilika zamani kulikuwa na upanga na mikuki kwa sasa kuna mabomu ya karibu na mbali hivyo hata mbinu za upiganaji zimebadilika

Ila kuhusu kupigania haki hapo namimi nakuunga mkono wapo sahihi
 
Nilipokuwa advance nilisoma kitabu kinaitwa A man of the people katika hicho kitabu kuna khabari za mdudu anaitwa chichidodo sifa yake kubwa ni kujiona msafi haliyakuwa anakaa sehemu chafu the likes masheikh wetu wa siku hizi
The Beautyful Ones are not yet Born.
 
Na hawa unaoona wana elimu ya dini lakini bado wanajidai wanapigana jihad za hao kina alshabab ujue wameshindwa na nafsi zao,
Wanajua kabisa wakifanyacho si sahihi ila wanafanya hivyo kwa maufaa ya kidunia.
Wengine maamua wasiokuwa na elimu nzuri wanakuwa brainwashed, mtu anaambiwa mtume alipigana, anapewa na aya, wazungukeni wapigeni kushoto kulia, haelezwi ilikuwaje mtume akapigana vita.

Umetoa elimu nzuri snaa kuhusu JIHAD, jihad nyingi ni za uongo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom