Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

Unajifariji tu. Osama alikuwa Al Sayyid

Unajifariji tu. Osama alikuwa Al Sayyid
ata kama angekuwa al shabaan!!!,,,nakumbuka kulikuwa na muuni mmoja muuza unga huko amerika ya kusini,unaambiwa jamaa wananchi walimpenda mno,kwani aliwajengea shule,mahospitali mpaka nyumba zakuishi,,,,,,ilikuwa kazi sana polisi kumakamata el chapo,kwani wananchi walikuwa wamakomaa naompaka polisi wanua winga,pia kutokana ukwasi aliokuwa nao alikuwa anamili jeshi lake mwenyewe ambao wote walikuwa makomandoo,,,so serikali ilimshindwa,,,,alikuja kukamatwa kwa msaada wa marekani,,,kwa ivo mapenzi yako kwa osama ni mapenzi ya wanachi wa huko kwa el-chapo,,,,,,,ata shetani kuna wa2 wanampenda kama mafreemason na wachawi kwa kugawa utajiri!!!!,,,,,,,,so "think critically",,,,,,,usiwe kama kasuku mrudia maneno!!
 
Tatizo kubwa la Uislamu ni tafsiri ya maandiko..hili ndilo linawafanya wabebeane mapanga na kujenga chuki kwa watu wasio kuwa wa imani yao.. nimezaliwa katika familia inayoamini ktk Uislamu baadae nikabadili dini.. ndugu zangu hawana shida na hilo wameheshimu maamuzi yangu... ila watu baki wananinunia utafikiri nimetembea na wake zao...
 
Back
Top Bottom